Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,926
- 236,475
Nimeshtushwa na habari za kukatana miguu tena jamaniπππLiverkuku πππππ
Upo Nanjilinji unahangaika na mechi?Mkuu hapa kuna shida ya network. Embu niangalizie matokeo ya Napoli.
Chukua na popcorn uangalie unavyokandwa huko uefa chuma 3 tiyari wahuni washamaliza pakti[emoji23]Ngoja nichukue popcorn
Nipo nimekaa kuona mnavyoendelea kupoteana msimu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo n kocha mzuri aisee soka lake analofundisha pale EPL linavutia sanaUzoefu unahitajika mzee. Kuna michuano mingi
4 hukoNgoja nichukue popcorn
Nipo nimekaa kuona mnavyoendelea kupoteana msimu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wafunge tu hata 104 huko
Mtakuja kugeuza meza kama mlivyofanya Kwa BarcaWafunge tu hata 10
Klopp lishakuwa la mchongo.
Bora hata klopp ambaye unaona kabisa soka linacheza ila upungufu unaona upo kwenye midfielder na ukizingatia mna injuries ya kina Thiago ila kwa TT tumenyimwa vyote soka hulioni na matokeo mabaya tunapataWafunge tu hata 10
Klopp lishakuwa la mchongo.
Hana ubora wowote, maana tangu msimu uliopita aliona kabisa kuwa Kuna shida ila bado ameendelea na kiburi chake Cha kutotaka kusajili na anajua kabisa kuwa akina Thiago kila siku ni wagonjwa.Bora hata klopp ambaye unaona kabisa soka linacheza ila upungufu unaona upo kwenye midfielder na ukizingatia mna injuries ya kina Thiago ila kwa TT tumenyimwa vyote soka hulioni na matokeo mabaya tunapata
#BringBackLampard πNaona Mkuu mchana kutwa,muda wote umeshikilia Lampardπ€£
ImpossibleMtakuja kugeuza meza kama mlivyofanya Kwa Barca
Chukueni makocha wenye CV ya vikombe , sio mnaokota okota tuu sjui Graham ,hv kweli huyo kocha mnaempigia chapuo anaweza kuweka ushindani Kwa experienced managers kama pep, konte , klop , na Yule wa man u, hata top 4 , kama ni hvyo hata top4 Nina was wasBinafsi naona aina ya Mpira tunaocheza ni tangu kipindi kile cha kocha sarri. Yaani baada ya sarri kuja na jorginho akamtoa Kanye kwenye nafasi yake na kumueka jorginho, Mpira huu ndo ulianzia hapo.
Lampard hakua na mbinu kuondoa aina ile ya Mpira na ni Ngum maana aliendelea kumtumia jorginho kwenye nafasi ya DM, Kwaio hata wachezaji nao Waka adapt aina ile ya Mpira.
Tunchel kaja nae kaendelea kumtumia jorginho, so ni vilevile atapiga pasi ya nyuma na kumuelekeza beki mpira aupeleke pembeni. Hua anaonyeshea kabisa. Binafsi jorginho naona sio kiungo anaefaa. Ili soka kinadilike lazima tupate kiungo bora Zaidi.
Kwa Tunchel hakupewa muda . Graham potter ni chaguo sahihi tukimpata. Once blue always blue. #KTBFFH
Taja majina yako kamili, unashabikia timu Gani, una umri Gani na namba yako ya simu. TitakubipChukueni makocha wenye CV ya vikombe , sio mnaokota okota tuu sjui Graham ,hv kweli huyo kocha mnaempigia chapuo anaweza kuweka ushindani Kwa experienced managers kama pep, konte , klop , na Yule wa man u, hata top 4 , kama ni hvyo hata top4 Nina was was
Hayo kamuulize mama ako...who are youTaja majina yako kamili, unashabikia timu Gani, una umri Gani na namba yako ya simu. Titakubip
Ni vichekesho sana, Chelsea sio timu ya kuokota okota makocha , ni timu ya kuoambania vikombe tena vile vizito , Kwa hapo huhitaji kocha wa kubahatisha ... TT hakutakiwa kufukuzwa Kwa mda huu, ndo amesajili zaidi na timu bado haipo organized ,mana wachezaji wengi wapya wameinga wengine hata mwez hawanaUyo Potter tutakuja mkataa hapa hapa ..kocha Hana experience yeyote ya michuano mikubwa ..Leo unamkabidhi timu kama hii ..huu msimu naona tutapoteana zaidi
Wakati pep anapewa mikoba bale barca alikuwa na experience gani kumzidi Potter wa sasa Zidane je ? Haya mambo hayana assurance usajil wa kocha na wachezaji ni bettingChukueni makocha wenye CV ya vikombe , sio mnaokota okota tuu sjui Graham ,hv kweli huyo kocha mnaempigia chapuo anaweza kuweka ushindani Kwa experienced managers kama pep, konte , klop , na Yule wa man u, hata top 4 , kama ni hvyo hata top4 Nina was was