Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilisema hili huu usajiri asipotumia vizuri itakuwa ndo tiketi ya yeye kuondoka hakuna tajiri atayekubali awekeze halafu timu ifanye vibaya
TT ana matatizo na baadhi ya wachezaji hilo linaonekana kabisa nafikiri ndio chanzo timu kucheza vibaya
Alipokuwa anamsema vibaya Werner kwenye media nilisema hili pia kuwa wachezaji dressing room ni kama ndugu wa familia moja, mmoja wao akipewa mistreatment wote wanakuwa affected na inaweza kufanya dressing room ikakosa umoja na maelewano. Too many players were forcing out of Chelsea why?
 
Wakati wa Lampard alikuwa nacheza vizuri na kuna mechi kama mbili alishakuwa MOTM
Amekuja TT hapatani naye kabisa, nasikia Todd Boehly alitaka kukataa uuzwaji wake lakini TT akakubali. Billy kalazimisha kutoka kwa sababu damu yake na TT haziendani kabisa na hii ilionekana tangu preseason kule USA

TT ni ready made coach, anaweza kuwanunua wachezaji waliopikwa kwingine hata kama hawajaiva vizuri na kuwaacha wacheza waliopikwa vizuri na academy ya Chelsea pengine hata na kuwazidi wale wa nje

Uzuri mmoja huuu usajili uliofanyika wa pesa nyingi ndio utakaomuondoa darajani asipofanya vizuri
Atafeli sana. Inaonekana hana skills za kuishi na watu, sort of!
Gilmour atakuja nunuliwa kwa pesa nyingi sana later.... I guess!
 
Kwenye FIFA22 ranking utaona maeneo ambayo yeye ni mzuri na yale ambayo bado sio mzuri sana
Ni mzuri sana physicality, Pace na Defense, pia ni mzuri sana kwenye Beast (kunyang'anya mipira), sio mzuri sana kwenye kupiga, kupasi na kupiga chenga, pia sio mzuri sana kwenye kushambulia, kutengenza nafasi na mipira ya vichwa
1662055657141.png
 
Wakati wa Lampard alikuwa nacheza vizuri na kuna mechi kama mbili alishakuwa MOTM
Amekuja TT hapatani naye kabisa, nasikia Todd Boehly alitaka kukataa uuzwaji wake lakini TT akakubali. Billy kalazimisha kutoka kwa sababu damu yake na TT haziendani kabisa na hii ilionekana tangu preseason kule USA

TT ni ready made coach, anaweza kuwanunua wachezaji waliopikwa kwingine hata kama hawajaiva vizuri na kuwaacha wacheza waliopikwa vizuri na academy ya Chelsea pengine hata na kuwazidi wale wa nje

Uzuri mmoja huuu usajili uliofanyika wa pesa nyingi ndio utakaomuondoa darajani asipofanya vizuri
Kumbe huyu kimbaombao wenu ana roho ngumu naye eeh

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa Lampard alikuwa nacheza vizuri na kuna mechi kama mbili alishakuwa MOTM
Amekuja TT hapatani naye kabisa, nasikia Todd Boehly alitaka kukataa uuzwaji wake lakini TT akakubali. Billy kalazimisha kutoka kwa sababu damu yake na TT haziendani kabisa na hii ilionekana tangu preseason kule USA

TT ni ready made coach, anaweza kuwanunua wachezaji waliopikwa kwingine hata kama hawajaiva vizuri na kuwaacha wacheza waliopikwa vizuri na academy ya Chelsea pengine hata na kuwazidi wale wa nje

Uzuri mmoja huuu usajili uliofanyika wa pesa nyingi ndio utakaomuondoa darajani asipofanya vizuri
Sitaki hata kukiona hiki ki babu
 
Usajili ufungwe tuone mizengwe ya waliosajiliwa na makocha wajinga.
DM na Striker ndio walikuwa muhimu sana, tukipata nafasi January tunaongezea, ila TT alazimishwe kuwapa dakika hao viungo tuliowasajili ili waanze kuingia kwenye first team taratibu. Viungo wote tuliowasajili ni wazuri ila TT akiendelea ni hii akili yake mbovu January hao vijana wataforce kuhama Chelsea
 
Maajabu ya mwisho
Chelsea bado wako na mazungumzo ya kumchukua Memphis Depay

Patricio Romano anaita Not yet over for Memphis Depay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom