Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

tukicheza namna hii kwa Liver ama City, unaweza kujikuta mtu unapigwa gwala !!. Half-time nilikwenda kulala sikuweza kuvumilia mpira ule kwa kweli.
 
Basi kila mtu kwenye timu ni takataka [emoji23][emoji23]
Msimu uliopita nilimsema sana huyo jaluo watu Waka ishambulia kweli kweli. Mendy naye takataka, Hana consistency Tena Leo supa kesho hovyo. Time will tell
 
Tuchel ana falsafa mbaya sana ya uchezaji ambayo haitakiwi kwa timu inayo pambania makombe. Jamaa mpira wake umepoa sana kama kinyonga, ule mpira siupendi kwa kweli. Hivi huwa haoni vile LiverPUNGA, Man SHIT ama AseNANE wanavyo peleka moto. Yaani mtu anatafutwa mpaka anakubali, sasa yeye pole pole kama kalazimishwa, pumbavu zake. Yule mbwa anakera sana
 
Pole sana Papaa ndio ukubwa huo, taratibu utazoea tu kuvaa kijora bila ya Kyupi.
 
Katika kitu nachoamini hata aje nani tutacheza vizur 1 season then unaofata tunarudi kwenye default mode, tunaanza kumalum kocha ila shida kuu iko kwa wachezaji.

Tutacheza vizuri kumshawishi kocha, then wakihisi washamshawishi wanarudi kwenye default mode,
Hii cycle itaendeleea kujirudi huku tukijificha kwenye kivul cha kocha
 
Siku zote timu ikifanya vibaya lawama lazima ziwe kwa kocha huwezi ukafukuza wachezaji sasa angalia Chelsea inaongoza kwa kufanya usajiri lakini inapata matokeo mabovu

Hakuna tajiri atayekubali kumwaga pesa halafu ategemee matokeo mabovu lazima kocha awajibike na kufukuza makocha ndio imefanya tumepata mafanikio miaka ya nyuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…