Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Kocha wetu anatufelisha sana ingawa Tumepata Tajiri Sio mbahili kamsajili chikumeka mechi ya nne hii kaa benchi wakati unatatizo la midfielder sasa alimsajiri wa nini? Jorginho hakuna chochote anachofanya na unaona kabisa kwanini unamn'gan'gania? Wakati una Gilmour. James, Tammy abraham, Tomori na Mount walipata nafasi kwasababu tulifungiwa kusajili nawakaonesha kitu lakini Huyu kocha wetu unaona kabisa seniors wanazingua kwanini usione hii ndio nafasi yakuwapa madogo ? Mendy kadrop sana na una Kepa kwanini usimpuzishe Mendy angalau ajifunze?
Jambo lingine inalonikera kuliko maelezo ni kumn'gan'gania takatakata Kai wakati ana natural striker mzuri tu Broja angalia performance alionesha Ziyech japo hakucheza mechi zote 3 za awali kwa style hii utasema Ziyech mbaya? au apewi nafasi?
By the way Sio kwamba tuna kikosi kibovu bali TT anachangia kwa kiasi kikubwa tuonekane ni ovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Since wayback nilikuq nqsema huyu kocha hana akili zaidi ya kuweka mabeki 3 nyuma kuna kiazi kimoja kikawa kinanibishia. Kinaleta takwimu na madrama mengine.
Kuna watu hua hawaangalii mpira wanasubiri wachambuzi waongee ndiyo waje kusema. Matokeo yake wakaamini kweli tuchel atatengeneza timu ya kuogopwa.
Asipobadilika atavumiliwa labda mpaka krismas. Olashoga na lembua nawasalimia.
Mviziaji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2216]Toka mwanza TT anakuja Chelsea nikasema hapo hakuna kitu anashinda kwa bahati ila hana mbinu pale vibe ya wachezaji ndio inambeba ila kocha ni mavi matupu nakuambia Chelsea hatoweza kuingia hata top 10 kma huyu mviziaji atabaki lazima tucheze 15 namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msimu uliopita nilimsema sana huyo jaluo watu Waka ishambulia kweli kweli. Mendy naye takataka, Hana consistency Tena Leo supa kesho hovyo. Time will tell
@OllaChuga Oc mlituaminisha mna timu nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza kabisa hawa matajiri kama wana mpango wa kumuongezea mkataba TT waache kabisa maana anakotupeleka ni kubaya
Ukweli ni kuwa TT hana mbinu za kueleweka kiufupi ameishiwa kabisa timu inacheza kama ipo chandimu kwa mda aliokaa unatosha hawezi kutupeleka kokote kwa aina hii ya mpira
Wale mliokuwa mnatetea TT mje sasa na sababu zinazoeleweka maana mnajionea wenyewe madudu tangu pre season hali yetu ilikuwa mbaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyumbu na chelshit ni ukoo mmoja
Wote wanaumwa kichaa
Huwa kina tulia tu, lakini ugonjwa upo pale pale
Kwa mbaaali namuona Chalii yangu OllaChuga Oc pamoja na Arobaini na mbili sabini na Saba 42774277Kikosi cha cheltako kikipata picha baada ya game[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2340488
Isije tu kuwa ni Chalii yetu OllaChuga OcWashaanza kukichafua huku yani hapa penye tupo pamegeuka uwanja wa vita[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2340482
Kwani ndugu yangu 42774277 anasemaje?Tunashangilia kusajili lakini huku tuna kocha mjinga
Jamani jamani Chalii yangu OllaChuga Oc [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] OllaChuga Oc huko alipo.View attachment 2340474
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kubwa jinga la mwezi hili
Itakuwaje sasa?THE BLUES msimu huu tumeyakanyaga, hakuna rangi tutaacha kuona.
Uongozi uandike barua FA ya kuomba kujiondoa kwenye ligi.
Akina OllaChuga Oc haoChelsea ni kama masela tu walokutana uwanjani kwenye mechi ya ndondo cup.