LOL!!!! @ #Mburukenge hahahahaha... Wacha1 where are you Mkuu!? Picha please!!!!
Wacha1..........njoo uwaone hawa #mburukenge wanavyong'oa viti hapa, kha?!
Sisi ndo wazee wa darajani, you will have to cross us.:A S soccer::A S soccer::A S soccer:
kweli defense imetuangusha na mahasimu wetu walikuwa na defense kali japo tulishambulia kwa bidii. By half time niliacha kuangalia nikaona niikajilalie mie.
weekend ya #jotohasira hii best
Thubutu zake, anapigwa 2-0 arudi kuogelea kwenye bwawa la maini.
Sawa mkuu. Usije kupotea tu.
Mi naona Suarez 2, Sturridge 1.
hahahahaha mkuu Naona umeanza kutuletea historia!!
BTW pole kwa msiba mkuu.
Asante eventhough no one will convince me chelsea didn't sell that game ili kumuokoa Pardew...remember it was his last game! Lose and get sacked...
We ni Arsenal eeh? Wenye Jukwaa wamekimbia humu..Kwema jamani humu?