Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tottenham ujawaweka hapo aliwahi kumpiga mtu 9 nakumbuka hiyo game Defoe alipiga hattrick
Waliwahi kushinda 9-0 1971 kwenye division 2 na mwaka huo huo kwenye UEFA Cup. Zaidi ya hapo hakuna
 
Kuna vitu vingine kocha anatuangusha Sana jorginho anazingua kila game lakini kocha anaendelea kumuamini hivi kwanini hiyo nafasi usimpe Gilmour? mount na kai wote kwa pamoja hakuna hata game 1 walioperform vizuri lakini kocha kawan'gan'gania as if hatuna wachezaji wengine kwenye hizo nafasi.kwa hali hii inawadisappoint hata wachezaji waliokwenye benchi Kuna haja gani yakumchezesha kai winger wakati una mawinger halisi odoi na Pulisic
 
Katika vitu ambavyo huwa siviliewi ni VAR, jana havertz aliambiwa yuko offside, na kufanya penalt ikataliwe.

Ila j3 kwenye game ya liver vs man utd, Rashford aliambiwa yuko onside
 
Man United nao wamuulizia Auba Barcelona
Auba anaitaka Chelsea, kasema huko ndiko atadhaminiwa
Kinachokwamisha ni maelewano ya muda wa mkataba, Chelsea wako tayari kutoa mwaka mmoja tu, Auba anataka angalau miwili
Fabrizio anasema personal terms na auba zishakuwa agreed, sasa hapo unaposema sijui auba anataka 2 che wanataka 1 not true,,
Issue ya Auba imebaki kwa barce n chelsea kukubaliana, Barce wanataka €30M, huku chel wakitaka kutoa £15 +Alonso, Barce wanataka cash
 
Makocha wanampenda Jorgihno sijajua ana Nini?Kila team utakuta anapata namba mimi sijawahi kuelewa anawapa kitu gani uwanjani ,labda mnieleweshe.
 
Makocha wanampenda Jorgihno sijajua ana Nini?Kila team utakuta anapata namba mimi sijawahi kuelewa anawapa kitu gani uwanjani ,labda mnieleweshe.
Ni senior team leader and game reader hilo tu ndo wanampendea kwa hilo
 
Barca wanamtaka sana Alonso kama Backup ya Jordi Alba
Sisi tunamuitaji sana Auba kwenye attacking force
Kwa nini Barcelona hawataki swap deal?
Ni ili watuminye kiswasawa kwa Alonso halafu huku wakitukamua kisawasawa kwa Auba?
Kuna uwezekano dili la Alonso likafeli
 
Reliable reporter wote wanasema hivyo issue imebaki kwa barce n chel kukubaliana maana player ashakubali, nashangaa sijui hii habar kaitoa wapi
Kuna tetesi zinasema hivyo chelsea wanataka kumpa mwaka 1 ila yeye anadai 2 kipengele kipo hapo kumbuka ana 33 anasajiliwa kwa plan ya mda mfupi ataongezewa mkataba kutokana na form yake
 
Yaani pale ni Bora mara 10 angewekwa Batshuayi
Lakini Batman hayupo kwenye mipango ya kocha ndio maana hana hata jersey. Nasema Broja kwasababu yupo kwenye squad na hata jana alikuwepo bench. Sidhani kama Broja would have been worse kuliko Havertz. Angalia hizo ratings.
 
Kai Nimemuongelea huwa alicheza vibaya, Lakini ni kipindi cha kwanza, Kipindi cha pili baada ya Mount kutoka mbona Kai kuna moves nzuri tu ambazo alizifanya?
Timu pekee jiji la London yenye uefa 2 timu iliyoleta mapinduzi England na Dunian kote mdogo mdogo mpka kileleni the blues [emoji838][emoji838][emoji838][emoji838][emoji838] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umepotea njia wewe....
 
Labda kageuka au waandishi walidukua vibaya.
 
Reliable reporter wote wanasema hivyo issue imebaki kwa barce n chel kukubaliana maana player ashakubali, nashangaa sijui hii habar kaitoa wapi
Wako reliable but not final. Mjue pia hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…