OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Achana na hayo matakataka ..sisi tuna deal na yetu ..huu msimu tubebe EPL maana uwezo tunao, Ari tunayo na Kasi tunayo.Imeshaanza huko Arsenyeto wanaongoza ligi kwa points 3
Kama tukimpata huyo kwa hiyo pesa vipi kuhusu de jong dili lake tutaweza kukamilishaChelsea wamesha submit ofa ya pili ya Fofana ya Paundi 70m Leicester wanataka 80m
Kuna uwezekano pia Ampadu akajumuishwa kwenye swap deal
Itawezekana endapo De jong atataka kuja,Kama tukimpata huyo kwa hiyo pesa vipi kuhusu de jong dili lake tutaweza kukamilisha
Wote wanatakiwa.80M kwa fofana? Hapana aisee.
Hiyo 80M tukalipe kwa De Jong.
Nyie kenge hamna uwezo kubeba kombe lolote msimu huuAchana na hayo matakataka ..sisi tuna deal na yetu ..huu msimu tubebe EPL maana uwezo tunao, Ari tunayo na Kasi tunayo.
#CFCπππ
Ila nyie kenge hii timu yenu mnapigwa kweli kwenye dili za usajiliChelsea wamesha submit ofa ya pili ya Fofana ya Paundi 70m Leicester wanataka 80m
Kuna uwezekano pia Ampadu akajumuishwa kwenye swap deal
Hujui alie top of the table ni naniTaja team yako kwanza
Sterling anacheza wide, kwa hiyo akae kushoto au kulia kwake ni sawa tuIshu pia sio kuwa na Striker aliyekamilika.
Ishu ni kuwa na winga ya kushoto na kulia wazuri, wenye uwezo wa kufunga (10+ goals and 10+ Assists)
Kai akawa na kazi ya kushuka chini kuchukua mipira na kuwachezesha pale mbele.
Sawa kuna ongezeko la Rahim Sterling, bado winga ya kulia.
-------------------------- KAI -------------------
STERLING ------ MOUNT --------- RW
Tumebakiwa na chenji kama 132m, ndio inatosha na itategemea tumeingiza ngapi kwenye mauzoKama tukimpata huyo kwa hiyo pesa vipi kuhusu de jong dili lake tutaweza kukamilisha
Nasikia Chelsea wako obsessed na Fofana kiasi kwamba wako tayari hata kutoa Paundi mil 85 wanayotaka Leicester City.
Kumbe hii team ya zima motoHujui alie top of the table ni nani
Kwa Grealish napo vipi!?Performance ya one season ndio inawapa confidence na kuamini anahitajikan kwa bei hio ? , Cucurella ni mchezaji mzuri ila kwa hio bei hapana .....!!
Mbona povu jingi, vipi!?Weww mbwa Kama team lako halina consistency hata mchukue kombe la dunian na mbinguni mtabaki mafala tu ...
Man city itaendelea kuwatesa hata Kama haina CL ,sijui super cup CWC ,hata sijui Europa.....
Football is all about consistency sawa kenge maji wewe ....
Kwanza msimu umeisha Huna hata kombe ,harafu unabishana na champion of England,kalale mbweha njano wewe .....
Lembu rafiki yangu naona FDJ mnambeba , manure watalia SanaNasikia Chelsea wako obsessed na Fofana kiasi kwamba wako tayari hata kutoa Paundi mil 85 wanayotaka Leicester City.
My word: Akiflop tumeliwa
Kidogo kidogo Boehly anaingia mtego ule ule wa akina Marina
Fofana yupo vzr ,walikuwa na Saliba pale France timu moja , ilikuwa tuwabebe wote , tukamchukua Saliba , tukapanga msimu Mwingine tubebe fofana ,tukachelewaNasikia Chelsea wako obsessed na Fofana kiasi kwamba wako tayari hata kutoa Paundi mil 85 wanayotaka Leicester City.
My word: Akiflop tumeliwa
Kidogo kidogo Boehly anaingia mtego ule ule wa akina Marina