Kuna baadhi ya vitu muhimu vya kuweka maanani kwa mchezaji kama Kane kuuzwaConte hawezi kumuachia Kane
Takataka hizi ni za kupigwa mnada mazima Alonso ,Azipilicueta ,Sarr ,Ziyech ,Werner ,Odoi , we need total revamping in our squadMsimu uliopita Azpilicueta alifanya errors ambazo zimeigharimu timu, Alonsos yeye tumemzoea kwa blunders sijui Xavi kaona nini kwa hao wachezaji
Mkuu msimu uliopita Kane ilikua aende City ila ile transfer ikashindikana wengi tuliamini msimu huu anaondoka lakini haijakuwa hivyo na kwa kuongezea uongozi wa Spurs ukaamua kumleta Conte kocha wa makombe. Jiulize kitu gani kilimshawishi Kane aendelee kubaki Spurs ni lazima ameahidiwa mambo mazuri ndio maana msimu huu hatujasikia tetesi za yeye kutaka kuondoka.Kuna baadhi ya vitu muhimu vya kuweka maanani kwa mchezaji kama Kane kuuzwa
- Mapato ya kuuza vs malengo ya timu (realistic goals) Spusr haiwezi kugombe makombe makubwa, labda wakimuuza Kane kwa bei nzuri wanaweza pata nguvu ya kujenga kikosi imara zaidi
- Kane ni mzee haendelei kuwa kijana, kule mbele labda ataondoka bila faida
- Kane mwenye anayo ambition ya makombe makubwa na atahitaji kwenda timu ambayo hayo yanaweza fikiwa
- Msukumo wa uongozi unaweza lazimisha Kane kuuzwa kama ofa nzuri itatolewa
- Ni kweli mfarakano na kocha inaweza kutokea kama Conte hajapelekwa shule vizuri
Tupeni information ya huyo mchezaji anacheza nafasi ipi je ni mzuri?Usajili wa Carney Chukwuemeka naona tier 1 zote zimepigwa suprise.
Mambo mengine naona yanaenda kimya kimya
Kiungo mshambualiajeTupeni information ya huyo mchezaji anacheza nafasi ipi je ni mzuri?
Gerald kasema sababu kubwa ni kwamba dogo kakataa kusaini mkataba na alibakiwa na msimu mmoja tu kuwa free agent. Sababu ya kukataa kusaini mkataba ni kwamba alitaka kuhamia timu itakayompa muda zaidi wa kucheza[emoji404] 𝐃𝐄𝐀𝐋 𝐃𝐎𝐍𝐄: Chelsea have reached an agreement with Aston Villa to sign 18-year old Carney Chukwuemeka.
Move is dependent on personal terms and medical.
(Source: Chelseafc)
RB Leipzig have rejected a €80m offer from Manchester City for Josko Gvadriol, a player who has been linked with Chelsea this summer.Tunasajili Cucurella na Josko. Tunauza Alonso, Emerson na Azplicueta. Habari ya nyuma inakuwa imeisha.
Kweli Chelsea wapo serious nilichogundua kwa Chelsea ya uongozi wanatoa pesa kulingana na quality ya mchezaji na ndio maana wametoa hiyo hela kwa haraka
80 ni kwa sababu ya mkataba alionao.Mtazamo wangu kuhusu deal la fofana binafsi namuona fofana ni beki wa kawaida sio beki tishio sio mchezaji wakutoa pound 80M walioweka club yake
Kingine Leicester walimnunua kwa pounds karibia mil 35 kitu ambacho nacho kinasababisha auzwe kwa bei ghali80 ni kwa sababu ya mkataba alionao.
Alisign mkataba mwez wa 3 mpk 2026 kama sijakosea
Na ni msimu wake wa kwanza EPL