Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Wewe timu nyingi tu zimepata wachezaji dirisha la January. Huu hapa mfano mdogo tu Vlahovic, Luiz Diaz, Ferran Tores, Luis Suarez hizo ni chache ya sajili zilizowahi kufanyika JanHuwezi kupata wachezaji wamaana kwenye dirisha la January Team nyingi zinakuwa zinawan'gan'gania wachezaji wao muhimu kwa sababu kipindi kama icho clubs zinakuwa na agenda zao wapo wanataka ubingwa wa ligi zao na pia wapo wanataka big 4 so inakuwa si rahisi kuuza wachezaji wao muhimu kwa situation kama hizo
The beginning of new era[emoji23]......kwenye nyimbo ya Chelsea kuna mstari unasema " cheer us all through the sun and rain" ndo tukubaliane na hali sasa tusiwe maplastic[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2264918
Kwa huyu tajili masikini tulipigwa nilijua tu wa marikani wako sana with quick profits sio longterm investment.......hapo hawezi kununua mchezaji wa $100m, Chelsea itakua ya kupambania nafasi ya nne Uefa tu.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2264918
Angalia na hizo bei walipatikana utajua mantiki yangu ni ipi Hilo dirisha utampata mchezaji ikiwa hayupo Will kuendelea na club ndio inalazimisha club imeuze lakini kikawaida ni mgumu kwa club kumuacha mchezajiWewe timu nyingi tu zimepata wachezaji dirisha la January. Huu hapa mfano mdogo tu Vlahovic, Luiz Diaz, Ferran Tores, Luis Suarez hizo ni chache ya sajili zilizowahi kufanyika Jan
Hamna tajiri hapo ni mhuni mmoja tu Huyo.....chelshit mtamiss sana pesa za yule mpiga dili wa kirussiaNdugu zangu Chelsea naona kwa style hii ya huyu mmiliki mpya naona kabisa mtakavyo anza kuwa na bajeti kali kama Arsenal.
View attachment 2265169
Sio busara kutegemea dirisha la january kama timu iko serious na usajili. Mpaka atokee mchezaji mzuri anagombana au hajaridhika kwenye timu na anaeweza kuondoka bure kiangazi ndipo sa wanaamua kumuuza january. Cases hizi ni chache sana kutokeaAngalia na hizo bei walipatikana utajua mantiki yangu ni ipi Hilo dirisha utampata mchezaji ikiwa hayupo Will kuendelea na club ndio inalazimisha club imeuze lakini kikawaida ni mgumu kwa club kumuacha mchezaji
Pamoja na hizo ngonjera, Chelsea wanafanya timing, ukiwahi ukapa mzuri sawa usipopata itabidi kuchelewa ili mwishoni competion ikipungua ni rahisi kupata wachezaji wanaotosha kwa bajeti isiyopingana na FFPNdugu zangu Chelsea naona kwa style hii ya huyu mmiliki mpya naona kabisa mtakavyo anza kuwa na bajeti kali kama Arsenal.
View attachment 2265169
Angalia na hii.Pamoja na hizo ngonjera, Chelsea wanafanya timing, ukiwahi ukapa mzuri sawa usipopata itabidi kuchelewa ili mwishoni cpmpetion ikipungua ni rahisi kupata wachezaji wanaotosha kwa bajeti isiyopingana na FFP
Niliongelea usajili wa January kutokana na hali halisi iliyopo sasa hivi kwa dirisha hili itakua ngumu kupata mchezaji wa maana so nikaona walau kwa January mambo mengi klabuni yanaua yamesettle na process za usajili zinaweza kuendeleaSio busara kutegemea dirisha la january kama timu iko serious na usajili. Mpaka atokee mchezaji mzuri anagombana au hajaridhika kwenye timu na anaeweza kuondoka bure kiangazi ndipo sa wanaamua kumuuza january. Cases hizi ni chache sana kutokea
Mbona match ya mwisho alicheza?Hivi Chilwell hata mazoezi na timu kashaanza kweli?
Alicheza mechi ya mwisho ipi? Kwa sababu hata mazoezi ya pamoja na wenzake hakufanyaMbona match ya mwisho alicheza?
Mkuu Chelsea inaenda kuwa Arsenal muhimu tuwaite Arsenal fans waje watupe experience ni kwa namna gani tunaweza kusurvive kama wao. Tusijipe matumaini makubwa ni vyema tukajiandaa kisaikolojia. @FabrizioRomano on Chelsea: "Of course, it's not easy when a new ownership is coming with the old board, so they're trying to find the right way and they're working on many things. And Chelsea will sign new players, they are on it behind the scenes."
Mkuu wako wachezaj wazuri tu sema hawajawa hyped,Niambie sasa hivi kuna midfield gani ni mzuri yuko available sokoni ikawa rahisi sisi kumsajili kwa huu muda uliobaki?
Ndio maana nikasema walau January ndio tunawezafanya sajili ya maanaila saivi tutaishia kula za uso huko watu wanaweka vibunda mfukoni
Hii taarifa sio kweli,[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2264918
Mkuu hatwend kuwa kama arsenal, bado naiman na hawa matajiri.Mkuu Chelsea inaenda kuwa Arsenal muhimu tuwaite Arsenal fans waje watupe experience ni kwa namna gani tunaweza kusurvive kama wao. Tusijipe matumaini makubwa ni vyema tukajiandaa kisaikolojia