Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu nilikuw mbali kidogo nini kimempata cova adi kitolewa?
Awa watu wametumwa na Liverpool fans
Screenshot_20220511-224606_1652299270935.jpg
 
Watakaoinyima Chelsea top 4 ni Spurs wakishinda kesho
Wakitoa droo au wakafungwa na Arsenal basi Chelsea automatically in top 4
 
Nimeipenda pass ya Ziyech kwa Lukaku nilizani atapiga yeyemwenyewe kama michezi Mingi ilivyowachoyo lakini anafanya maamuzi sahihi I like it ndio inavyotakiwa Lukaku Unaweza kukuta kakaa kwenye position nzuri lakini michezaji unasubiri akabwe ndio itoe pass sipendi hiki kitu aisee
 
Mount ndo anatabia za uchoyo
 
Ila Lukaku bado mzigo sasa ile pasi ni ya kutuliza kweli?
 
Chelsea ina kismati na ligi ya ufaransa kwanini tusielekeze nguvu huko?
Drogba from Marseile
Hazard from lile
Willian from Lile
Mendy from Rene
Silva from PSG
Petr Cech from Rene
Michael Essien from Lyon
Usisahau bakayoko hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema sajil.nying kutoka ufaransa zimelipa
 
Nimeipenda pass ya Ziyech kwa Lukaku nilizani atapiga yeyemwenyewe kama michezi Mingi ilivyowachoyo lakini anafanya maamuzi sahihi I like it ndio inavyotakiwa Lukaku Unaweza kukuta kakaa kwenye position nzuri lakini michezaji unasubiri akabwe ndio itoe pass sipendi hiki kitu aisee
Katika game mbili hizi lukaku amekuwa bora kuanzia kulink up na wenzak hata ile fluidity yetu kwenye kushambulia inaana onekana, shida tu inakuwa kule mbele kuna kauchoyo kabaadh ya wachezaj kutaka kufunga wao, kuna mda lukaku unakuta yuko amefungua ila kuna wachezaj wanataka wafunge wao
 
Kama leo ile ya Pulisic alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kumpa pass Lukaku akataka afunge yeye moira ukatoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom