Manure pia wanamtaka na Rangnick amemkubaliTwo of the shortlisted bidders for #Chelsea are believed to be closely monitoring Paul Mitchell’s situation at AS Monaco and could contact him regarding the technical director’s role if they take control at Stamford Bridge.
[via @David_Ornstein]
Hii itatusaidia endapo tukifanikiwa kumpata huyu, tutaacha kufanya sajil za kupanic na ambazo haziendan na falsafa ya kocha
Hiyo ni kwa uchache. Naomba mjadala ufie hapa na kaa ukijua siwezi kumpigia ramli mdogo wangu niliomzidi karibu kila kituUtopolo unateseka sana baada ya Ramli zenu kushindwa
Ndio ashawah chezaNa yy pia aliwahi kucheza mpira so kama ikifanikiwa itakuwa Jambo zuri coz atakuwa ana jicho la kuona vipaji km Michael emenalo ...swali je hao 2 bidders ndo kundi la kina Nani na nani? Je ktk hao wapo Wale wanaopigiwa chapuo Kwa asilimia kubwa n mashabiki wa chelsea kuchukua timu ( Todd boehly consortium)? ..ngoja tuone
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoja tuone kama tutafanikiwa or man utd watatuwahiManure pia wanamtaka na Rangnick amemkubali
Kilichokukwamisha mechi zilizopita kumaliza mapema ni niniChelsea nawapiga tena FA cup easy sana!
Mane ataimaliza mapema sana safari hii
Kesho tutaanza na Lukaku ili Havertz apumzike
Pia kwa staili ya mabeki wa Arsenal wanavyocheza Lukaku anaweza pata hatrick yake ya kumfanya alipende jiji la London
Kwa hiyo line up yetu pendwa itakayotupa magoli 5 ni hii
Werner --- Lukaku ----- Mount
Alonso --- Kante -- Loftas Cheek --- James
Rudiger ----- Silva ------ Azpilicueta
Mendy
Wewe lazima ndugu yako tumbo moja atakuwa ni yule Waziri wa habari wakati wa Sadam Husein, alikuwa na roho ya pakaNyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Hizi nguvu za kukomenti unatoa wapi. Ebu toa nzi hapa nenda kabishane na Norwich City. Juzi kakupiga tatu safi bado unazingua hapa. Leo natamani Liverpool akutandike hata 7 kabisaNyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Halali yetuTano sio?
Leo umesimama na nani?Nyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Matokeo yanasemaje huko unaongoza goli ngapi manureNyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Man u ni mbovu huwezi kuifananisha na Chelsea haikabi inamuachia gape kubwa opponent kumshambulia mabeki wao ni wabovu katikati wanawachezaji wakawaida na ndio maana wanafungwa magoal mengiKama tulivyoona kilichomtokea Mwantesa.
In TUCHELsea we trust
London is blue 💙🔵💙
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie kongolo fc kumbe bado mjacheza na sisi naliza tuwapapase tunaanza na wenzenu majogoo leo
GGM.
Yes kuna sehemu chache Tu kidogo z usajili zikikamilishwa tunaweza kuwafikia liver na city performance wise n kufanikiwa kuchukua taji la EPL .. mmiliki mpya anayekuja asiwe kikwazo tuTangu enzi za Sarri top four tulikuwa tukiingia na viroho juu juu, lakini Sir Tuchel wala hatuja shida na kuhangakia top four, tunahangakia makombe, mara UCL, Mara FA mara Club Worldcup mara UEF Supper cup mara ?? EPL kidogo, mwakani itapendeza zaidi