Scouting team iwe chini ya managerMarina abaki tu kuwa kama negotiator ila kwenye scouting tutafute mtu mwingine,
Wampe tuchel maamuzi ya yupi anamtaka na na nani hamtaki, wakimpa wachezaj anaowataka naamini atakuwa na mafanikio kuliko hata josee kwa pale chelsea,
Camavinga sio DMUnao muda wa kutosha kufuatilia hili kabla hatujaanza kubishana.
Au kwa maneno mengine angekuwa ederson au alisson angeufanyeje huo mpira kutoka kwa ModricHivi huu mpira MENDY angetoka golini kuufata mpira ingekuwaje?View attachment 2187564
Nikatalie kwa facts ukiniandikia ivyo na mimi nasema Camavinga ni DM. Otherwise homework niliyokupa hujaifanyia kazi karudie tena. Take ur time broCamavinga sio DM
Kumbe Bado inawauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huu mpira MENDY angetoka golini kuufata mpira ingekuwaje?View attachment 2187564
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TT nae pia muda mwingine anaujinga wake flani hivi. Unamtoa Wener ambae alikua moto unamuingiza yule mmarekan anaekata viuno tu uwanjani.
Halafu watu wanasema tumetoka kiume, ni ujinga. Ukweli ni tumetoka kifala. Timu y kiboya sana hii. Mchezaji mmoja anafunga magoli matatu yanayofanana si ufala huo.
Dah jamaa anausindikiza tu kwa macho.Hivi huu mpira MENDY angetoka golini kuufata mpira ingekuwaje?View attachment 2187564
SawaMimi sijafungwa muda mrefu sana na Liverpool. Kama unabisha sema.
Kwenye 433 una mid 3 triangle (two #8s & a lone #6) yani Controller, creator & a holding one, hapa camavinga ni controller kama alivyo Pedri Barca, that's why anachukua nafasi ya Toni kroos sio DM, DM ni casemeiro, future DM Real Madrid wanahusishwa na Tchouameni. Ukimuangalia tu inatosha kukuonesha hana profile ya kuwa DM. Muangalie Rodri / Partey/ Fabinho afu fananisha na huyo dogo utaona utofauti mkubwa.Nikatalie kwa facts ukiniandikia ivyo na mimi nasema Camavinga ni DM. Otherwise homework niliyokupa hujaifanyia kazi karudie tena. Take ur time bro
Umesema sahihi kabisa ila umezungumzia role anayoplay sasa ivi kwa hilo siwezi kukukatalia. Defensive anacheza Casemiro lakini toka alipokua Rennes alikua anacheza Defensive Midfield sasa ivi unamuona anacheza juu kidogo na anafanya vizuri hiyo ni added advantage yake kama kiraka tu lakini position iliyomtambulisha ni DMKwenye 433 una mid 3 triangle (two #8s & a lone #6) yani Controller, creator & a holding one, hapa camavinga ni controller kama alivyo Pedri Barca, that's why anachukua nafasi ya Toni kroos sio DM, DM ni casemeiro, future DM Real Madrid wanahusishwa na Tchouameni. Ukimuangalia tu inatosha kukuonesha hana profile ya kuwa DM. Muangalie Rodri / Partey/ Fabinho afu fananisha na huyo dogo utaona utofauti mkubwa.
Alisema mwenyeweNikatalie kwa facts ukiniandikia ivyo na mimi nasema Camavinga ni DM. Otherwise homework niliyokupa hujaifanyia kazi karudie tena. Take ur time bro
Variants ya 433 ziko zaidi ya 4 na ktk hizo ni 2 tu zinazotumia CDM aidha katikati au CDM wawili wa pembeniKwenye 433 una mid 3 triangle (two #8s & a lone #6) yani Controller, creator & a holding one, hapa camavinga ni controller kama alivyo Pedri Barca, that's why anachukua nafasi ya Toni kroos sio DM, DM ni casemeiro, future DM Real Madrid wanahusishwa na Tchouameni. Ukimuangalia tu inatosha kukuonesha hana profile ya kuwa DM. Muangalie Rodri / Partey/ Fabinho afu fananisha na huyo dogo utaona utofauti mkubwa.
[emoji1787][emoji1787]Kwa wanajua mpira bayern hakuwa kikwazo kwenu. Chelsea ndiyo ilikuwa kikwazo. Wala husibishe
Nimependa hii kwamba THE BLUES haitanunuliwa kwa mkopo
Marina abaki tu kuwa kama negotiator ila kwenye scouting tutafute mtu mwingine,
Wampe tuchel maamuzi ya yupi anamtaka na na nani hamtaki, wakimpa wachezaj anaowataka naamini atakuwa na mafanikio kuliko hata josee kwa pale chelsea,
Mambo siyo rahisi ila FA ni lazima tube maana hatuna option ingine. Takataka ninyiKuchukua fa ni either ukutane na Liverpool au man city [emoji23][emoji23][emoji23]mambo sio rahisi kabisa ....
Mpira ulikuwa mbali sana mkuu asingeweza kuufikia.Hivi huu mpira MENDY angetoka golini kuufata mpira ingekuwaje?View attachment 2187564
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo siyo rahisi ila FA ni lazima tube maana hatuna option ingine. Takataka ninyi