Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

article-2318528-19988301000005DC-103_634x427.jpg

They called him a playstation joke..and that he would never amount to anything. He is our next CAPTAIN.

article-2318528-19988EF0000005DC-641_634x436.jpg

article-2318528-19988D89000005DC-588_634x420.jpg

article-2318528-19989B05000005DC-501_634x446.jpg

article-2318528-199891E0000005DC-851_634x423.jpg

article-2318528-199878B6000005DC-608_634x329.jpg

Kan't wait for the day ambapo first eleven - forwards itakuwa: mata-oscar-hazard-victor mid field: Luzi -Ramires Defence: any and NO STRIKER
 
natoa hongera humu ndani kwani wale mashetani hata wacheze na Abajalo basi mimi nitakuwa Abajalo

Hongera Blues !!!!!!!!!
 
Hongera the blues, pamoja na fitna,visa na vituko vya Howard Webb mmepata ushindi mzuri tena kwa kutandaza soccer safi!
 
Ndugu yangu Mourinho

nakubaliana na wewe kabisa huyo referee ni mshenzi sana, lakini na Benitez nae ni tatizo, mechi kama hiyo huwezi kumuweka mtu kama Hazard nje, Oscer alikuwa nje kabisa ya form japokuwa aligonga nguzo, Benitez ilimpasa kumtoa Oscer mapema na Hazard kuchukaunhiyo nafasi

anyway point tatu zimetusogeza kwenye nafasi nzuri ya kuingia CL, ngoja tuone mechi ya Jtano na Totenham
 
Last edited by a moderator:

Hazard ni majeruhi Mkuu, nimeona Oscar kajitahidi pia, game ilikua very physical but kajitahidi sana na pass ya goal ilikua yake!
 
Last edited by a moderator:
Hii timu msimu unaokuja itatisha naona wachezaji wanazidi kuelewana.
 
article-2319727-19A2BAE5000005DC-346_634x453.jpg

It doesn't MATA who got credited for the goal...

article-2319727-19A2C81D000005DC-831_634x401.jpg

The face Man...

article-2319727-19A2C299000005DC-842_634x315.jpg

Huyu dogo huwa anajituma sana...nimesikitika kwa kutolewa kwake but i hope atajifunza kupunguza hasira unapokuwa provoked!

article-2319727-19A2C928000005DC-552_634x440.jpg

CONFIRMED: Sir Alex Ferguson confirms that Howard Webb will be sold this summer...
Cc: Belo, mtotowamjini, BelindaJacob (i miss u buddy), Wacha1 et al...

article-2319727-19A2BE5A000005DC-248_634x359.jpg

That was so harsh man...

article-2319727-19A311BC000005DC-282_306x370.jpg

Where art thou ARSEN8 fans!???? Wacha 1 ...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2319727-19A28A4F000005DC-853_634x366.jpg

Go home RvP this is Chelsea...

article-2319727-19A29278000005DC-432_634x402.jpg

Hata angekuja Cantona kabisa...not just giggs..

article-2319727-19A28B01000005DC-66_634x469.jpg

Too rough guys...

Manchester United failed to score at home in the Premier League for the first time since December 2009, when they lost 1-0 to Aston Villa.

article-2319727-19A27FE9000005DC-707_634x491.jpg

Tuliwabana kila pahali yani...

article-2319727-19A28C71000005DC-180_634x344.jpg

Red nosed reindeer..

article-2319727-19A2A7C1000005DC-553_634x460.jpg

The next Chelsea legend...

article-2319727-19A29FB9000005DC-309_634x408.jpg

Hadi kwenu...

article-2319727-19A2CF40000005DC-461_634x357.jpg

Mataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

article-2319868-19A2C81D000005DC-147_634x376.jpg

article-2319868-19A2E761000005DC-733_634x448.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Last edited by a moderator:
Fantastic Chelsea! A win against tiny spuds on Wednesday, and CL footy is guaranteed.
KTBFFH.
 
chelsea spurs arsenal...you're all fighting for the champions league places...dear oh dear...good luck....a club such as chelsea should b competing for the league title and not 3rd position :happy:
 
Rafa Benitez ni kocha ambae toka aondoke Liverpool,basi mpk leo liverpool UCL haijacheza,kawapa UCL,kabeba Uefa Cup ndogo na Valencia,na inaelekea hii UEFA Cup ndogo kubeba tena na Chelsea,kweli michezo ya kimataifa England sasa iachiwe Chelsea,ndio inaelekea wawakilishi pekee mwaka jana wamepeleka UCL,na tarehe 15 mei hapo Amsterdam wanacheza na SL Benfica ktk Final ya UEFA Alhamisi Cup.
 
article-2319727-19A2BAE5000005DC-346_634x453.jpg

It doesn't MATA who got credited for the goal...

article-2319727-19A2C81D000005DC-831_634x401.jpg

The face Man...

article-2319727-19A2C299000005DC-842_634x315.jpg

Huyu dogo huwa anajituma sana...nimesikitika kwa kutolewa kwake but i hope atajifunza kupunguza hasira unapokuwa provoked!

article-2319727-19A2C928000005DC-552_634x440.jpg

CONFIRMED: Sir Alex Ferguson confirms that Howard Webb will be sold this summer...
Cc: Belo, mtotowamjini, BelindaJacob (i miss u buddy), Wacha1 et al...

article-2319727-19A2BE5A000005DC-248_634x359.jpg

That was so harsh man...

article-2319727-19A311BC000005DC-282_306x370.jpg

Where art thou ARSEN8 fans!???? Wacha 1 ...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2319727-19A28A4F000005DC-853_634x366.jpg

Go home RvP this is Chelsea...

article-2319727-19A29278000005DC-432_634x402.jpg

Hata angekuja Cantona kabisa...not just giggs..

article-2319727-19A28B01000005DC-66_634x469.jpg

Too rough guys...

Manchester United failed to score at home in the Premier League for the first time since December 2009, when they lost 1-0 to Aston Villa.

article-2319727-19A27FE9000005DC-707_634x491.jpg

Tuliwabana kila pahali yani...

article-2319727-19A28C71000005DC-180_634x344.jpg

Red nosed reindeer..

article-2319727-19A2A7C1000005DC-553_634x460.jpg

The next Chelsea legend...

article-2319727-19A29FB9000005DC-309_634x408.jpg

Hadi kwenu...

article-2319727-19A2CF40000005DC-461_634x357.jpg

Mataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

article-2319868-19A2C81D000005DC-147_634x376.jpg

article-2319868-19A2E761000005DC-733_634x448.jpg

article-2319868-19A2E761000005DC-733_634x448.jpg

article-2319868-19A2E761000005DC-733_634x448.jpg

article-2319868-19A2E761000005DC-733_634x448.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Karibu kibonde naona ulijificha muda mrefu,juzi tumekuuzia game unashangilia kama umechukua ubingwa,tutaonana msimu ujao
 
Kuna mpira leo? Wakuu wa cowshed mpo au mmeunyuti mkisikiliza mziki wa Totts? Anyway msijali summer mwaka huu imeanza mapema khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom