Nawaangalia Mabingwa wa Ulaya hapa Vs FC Basel, mhanga wa Suarez katupia hapa tho mpira umemgonga Moses.
mkuu angaliaga tu kwa roho nzuri utaufaidi mpira.!!!!Cha ajabu leo Mata kaanzia bench, nadhan team itapata shida sana kufanya penetration without him
Pole sana mkuu naona bado unamaruerue..
tuliza akili utaelewa tu.!!!!
mkuu angaliaga tu kwa roho nzuri utaufaidi mpira.!!!!
Aseee, unajuaje naangalia kwa roho gani?
Unatamani wapinzani wako wote wapigwe nne nne.
upate cha kuongea.!!!!
Thubutuuuu..!!!!!!!!!!!!!!
mimi kipele nilishatumbuliwa Jana na BD
4-1.!!!!!
Haya mkuu naona Torres ana aleji na magoli goli la wazi anagongesha mwamba.!!!Sio kweli Mkuu, naangalia hii match kwa sababu kwa EPL naikubali Chelsea or else ningekua namwangalia Pablo Aimar na Oscar Cardozo
Haya mkuu naona Torres ana aleji na magoli goli la wazi anagongesha mwamba.!!!
mkuu angaliaga tu kwa roho nzuri utaufaidi mpira.!!!!
mkuu shukrani kwa sapoti yakoNadhani umemuona Juan Mata na umeeewa sasa nilichokua namaanisha, bahati mbaya huyu kocha wenu mpuuzi kamtoa Hazard