Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
natoa hongera kwa Blues leo
BelindaJacob i always thought so...!Nipo Mentor, niende wapi mkuu.. CONGRATS KWA USHINDI MUHIMU jana..!!huyo dokta anafanana na mimi kwa mbali, he he
BelindaJacob i always thought so...!
Thanks anyway..
NB: Wacha1, umechelewa sana mkuu kuleta picha zako hazituumizi kabisa..lol! pole sana aisee...
mnapiga makelele mtafikiri mmeshinda ligi au kombe? kumbukeni man city wanawasubiri na watawapa kichapo mnatoka..top 4 mnakosa pia maana kama mnafungwa na southampton then hapo hakuna team...sisi tunasubiria mda ufike tuchukue premier league..kombe ambalo hamtakaa mchukue tena

I'm going to save this piece of sh1tty post and will remind you as we go along proving you wrong.