Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo saton anapiga mtu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
------- WERNER - KAI - ZIYECH ---------

ALONSO - JOG - KOVACIC - JAMES

--RUDIGER - THIAGO - CHALOBAH --

------------------- MENDY -------------------------

Mungu saidia leo tuvune point 3 muhimu.
Werner umtoe hapo pia na mendy badala yake acheze mount au Pulisic na kepa mendy anatakiwa akae benchi ili iwe onyo kwake
 
Timu yako umesahau mara ya mwisho imeshiriki lini UEFA na haujui itashiriki lini.

Unakuja kupiga kelele humu ndani.

Nafasi ya 3 na ya 4 ni ya Chelsea na Tottenham.
2017/18 walishirika Europa tukawafanya mbaya fainali. Baada ya hapo wakapoteana, walichobaki nayo ni midomo tu
 
Timu ya ushindi, hakuna namna nyingi
Sababu ya kuwapiga tunayo
Uwezo wa kuwapuiga tunao
Nia ya kuwapiga tunayo
na
Silaha yetu leo ni 3-4-3

------- WERNER --- KAI --- MOUNT---------

ALONSO --- KOVACIC --- KANTE --- RLC

--RUDIGER --- THIAGO --- CHRISTANSEN --

------------------- MENDY -------------------------

SUB
​
 
Huenda pia TT kaamua kuja na 4-3-3...huku Christensen akicheza km RB Afu cheek yupo kwenye Ile mid wa3
 
Leo timu inacheza vizuri.

Kule mbele naona ule uchoyo wa kizamani.

Tungekuwaga tunacheza hivi kila match huenda tungekuwa title contenders.

Timo Werner amekosa goal kama tatu hivi kabla ya hilo goal alilofunga.

Hizi salama kwa Arsenane ambao tunakutana nao tar 18 Darajani.

Watatujua.
 
Lakini pia Leo Soton utadhani haweajalipwa mishahara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…