Blah blah blah blah acheni visingizio Uwezo wenu ndo umefikia hapo hahahaTuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.
Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.
Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
Kamuuzia nani mkuuTuchel kauza mechi !! Unampangaje kati loftus cheek halafu unamuacha nje kovacic, ? Alonslow na mwenzake aziplicueta huwa siwaelewi wanafanya nn uwanjani.
Mount was very poor ,sluggish with the ball, werner na ziyech nao hawakuwa mchezoni.
Kifupi waliokuwa mchezoni ni rudiger,kante na havertz tu...wengine wote miyeyusho na hii imechangiwa na hii international break. First eleven yote ilikuwa kwenye international duty
Lile ni goal la msimu kabisaNimepitia comments zote za Leo, naona watu walivyopata furaha kupitia kwetu.
Any way naombeni goal la Rudiger nikalipost maana sio Kwa shoot like.
Labda Brentford pekee ndio anatamani kucheza na chelsea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mara ya kwanza tunaanza kurekodi visingizio badala ya ile kauli yetu pendwa ya kuwa hakuna Timu inayotamani kucheza na Chelsea
Nimepitia comments zote za Leo, naona watu walivyopata furaha kupitia kwetu.
Any way naombeni goal la Rudiger nikalipost maana sio Kwa shoot like.
Madrid hawezi kukubali umuondoe mara mbili Uefa.Acha kujitekenya chaliiii...Nyie matakataka mamluki mujiandae maana hata hiyo nafasi ya nne hamuipati ng'ooo ..sisi ndio Chelsea bwana, Leo tumepoteza kwa sababu hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza tena msimu huu.
Kipigo kizito kinakuja kwenu.
#CFCforever[emoji170][emoji170][emoji170]
Mtasingizia mgogoro... Mwezi huu mpaka mtubuu.Leo tumebatizwa kwa moto Nyumbani. Lakini siyo mwisho wa mapigano. We will come more stronger than to day
Chelsea foreva
Kwa mara ya kwanza tunaanza kurekodi visingizio badala ya ile kauli yetu pendwa ya kuwa hakuna Timu inayotamani kucheza na Chelsea
Wana bahati mbaya, domo domoz ao na ubaguzi ndio unaowagharimu vizazi na vizazi. Lesson learnedHawa Ricketts family wakubali tu, maana sio kwa kungangania huku,
Mashabiki hawana imani nayo + scandal zao walizozipata wangekuwa wengine hata wasingeendelea ila hawa jamaa ni vinganganizi sana.
Hata wakifanikiwa naona kabisa wakitumia mda mwingi nje ya uwanja kujisafisha na kuacha kufanya uwekezaj ndn ya uwanja