Hivi 12 ocklock ya UK ni saa ngapi huku. Nadhani kule ni saa sita na huku lazima iwe saa 3 au nimechanganya nini?Mkuu rekebisha mda hapo ni saa 9 alasir kwa saa za east africa,
East africa tuko mbele kwa masaa 3
Yah, mashabiki wameandaa tu hiyo haina uhalisia na tuchel, nilikuwa najarib kumuwelewesha jamaa hapoHiyo ni graphic ad kwa ajili ya kieneza ujumbe tu
Ni saa 3:00 Pm kwa maana nyingine ni saa 9 alasirHivi 12 ocklock ya UK ni saa ngapi huku. Nadhani kule ni saa sita na huku lazima iwe saa 3 au nimechanganya nini?
Sija check kwenye media, kama ni edit basi nafuta kauli yangu.Hiyo ni edit ya mashabaki tu, kuna vitu inahitaj kujiongeza, unahis kama tuchel na yeye angekuwa amesema hivyo kwa media za uk siingekuwa habar kubwa
Kama ni photoshop nafuta kauli yangu.Hiyo ni graphic ad kwa ajili ya kieneza ujumbe tu
Wazungu sio wajinga kiasi hicho kutolea maneno kisa edit,Kama ni photoshop nafuta kauli yangu.
Ila inabidi atoe statement ya kuikana. Inaweza kuja kumharibia akiiacha ikaonekana kama ni kweli au anaisapoti!
Anyway napenda kocha aliye focused na kazi yake. Hope hatajitia kwenye Coachictivism!
Lakini kwa evidence ya poor management ya Chikago Cubs baseball team ni dhahiri hawa Ricket Family hawataweza kuexcel kwenye usimamizi wa ChelseaKitu nilichogundua mpinzan mkubwa kwa Boehly consortium ni Rickett family,
Media nyingi zinamsupport Boehly hii inanipa mashaka sana, hizi PR zinazotolewa , now wamehakikisha Boehly wanapata support ya mashabik wakat huo huo kuhakikisha mashabik wanakuwa against Rickett, hii issue ya ricket family mwanzon media ilikuwa haitaka hata kutoa habar ila now unakuta kama nao wanatilia chumvi kwenye kidonda.
Kroenke kawekeza vizuri kweny los angels Rams ya NFL, ila kwa arsenal mpk watu hawamtaki wanataman hata leo hii aondoke,Lakini kwa evidence ya poor management ya Chikago Cubs baseball team ni dhahiri hawa Ricket Family hawataweza kuexcel kwenye usimamizi wa Chelsea
Naam mpk TT anaunga hoja...hawa ricketts watuache Kwa kweli na huyo buck asitusalitiMaandamano ya amani yameandaliwa tarehe 2 Aprili 2022 itakuwa ni kesho kutwa saa tatu za asubuhi saa za Afrika ya Mashariki au Saa sita mchana saa za UK
Geti la uwanja wa mpira Stanford Bridge
Waliopo Londonm mtuwakilishe huko vyema
#BuckOff
#NoToRicketts
#NoToRickettsFamily
View attachment 2170729
View attachment 2170726
Duh kweli sikugundua[emoji23]Hiyo ni edit ya mashabaki tu, kuna vitu inahitaj kujiongeza, unahis kama tuchel na yeye angekuwa amesema hivyo kwa media za uk siingekuwa habar kubwa
Sidhan kama hiki ni kikwazo, halafu hiyo kampun kwa sasa imesimamisha shughul zake urusiTODD naye ana matatizo: Hii ina maana Chelsea haitauzwa???
Chelsea fan favourite in the Blues takeover race Todd Boehly could have his bid affected with the revelation that he is still a shareholder in a betting firm that is operating in Roman Abramovich's home nation.
Mpaka sasa mzee wa kongolo fc ndo kaweka kidau mezani[emoji16][emoji16]Mpaka Sasa tumefikia wapi kwenye mauzo ya klabu yetu pendwa?
Acha shobo leicester city inakusubiri uko kukupiga kichapo umejiandaa na Hilo kwanza?Mpaka sasa mzee wa kongolo fc ndo kaweka kidau mezani[emoji16][emoji16]