juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Yeah najua hilo,asante kwa kuliongezea hapoKumbuka pia kuwa ofa sio tu pesa za kununua timu bali pia na vitu atakavyofanya ili kuboresha ushindani wake. Posibly kaongeza pesa lakini pia inaweza kuwa hajaongeza pesa ila kaongeza ahadi kwenye plans zake ya mamabo atakayofanya akikubaliwa kununua Chelsea. Hizi ni Investment atakayofanya kwenye facilities na wachezaji na pia uendeshaji mzima wa timu ili niwe sustainable. Mfano wameahidi kurudisha hali kuwa normal kabla ya game na Brentford, hiyo ni mojawapo ya maboresho aliyofanya kwenye bid
WamesubmitView attachment 2156993Tatizo kubwa la Saudi Media Group ni kwamba shareholder wao mmoja ni mmi9liki wa Newcastle kupitia PIF
Saudi Media Group’s bid to buy Chelsea could face a stumbling block due to a potential conflict of interest with Newcastle United’s majority stakeholders PIF, according to Goal’s Nizaar Kinsella.
Now Nizaar ameconfirm kuwa bid ilitumwa 1 hr before deadlineTatizo kubwa la Saudi Media Group ni kwamba shareholder wao mmoja ni mmi9liki wa Newcastle kupitia PIF
Saudi Media Group’s bid to buy Chelsea could face a stumbling block due to a potential conflict of interest with Newcastle United’s majority stakeholders PIF, according to Goal’s Nizaar Kinsella.
Kama ni hivyo ni habari nzuri sana kiukweli moyo ilikuwa umenyongonyea sanaNow Nizaar ameconfirm kuwa bid ilitumwa 1 hr before deadline
"It was delivered an hour before the deadline. The intention wasn't to create a media storm, hence going quiet. Delivered one hour before the deadline. Raine has confirmed receipt."
Mkuu sababu ya kuwa "overfunded" sio hiyoSources said the bid led by Mr Boehly was now "overfunded",
Sababu kuu ni
Goldman Sachs, the powerful Wall Street investment bank, has stormed into the £3bn auction of Chelsea Football Club as an adviser to one of the leading bidders.
Sky News has learnt that Goldman has been signed up to advise the consortium being led by Todd Boehly, one of the owners of the Los Angeles Dodgers baseball team.
The addition of Goldman to Mr Boehly's bid is understood to have been disclosed in an offer letter sent to Raine, the merchant bank overseeing Chelsea's sale, on Friday.
While Goldman's involvement is limited at this stage to an advisory rather than financing role, its decision to work with Mr Boehly underlines its apparent status as one of the frontrunners to succeed Roman Abramovich as the Blues' owner.
Spokesmen for Goldman and Mr Boehly both declined to comment on Saturday.
Me sidhana kama wanaweza pewa tim hawa,Kama ni hivyo ni habari nzuri sana kiukweli moyo ilikuwa umenyongonyea sana
Inasemekana wamesubmit kimyakimya ili kukwepa mambo ya media.Hata Saudi Media Group nasikia hawajasubmit. Hizi 30 zimetoka wapi?
Uko sahihi 100%Kuna watu wamesubmit na hawajaenda public,
Sio kila anaesubmit atasema kwa waandishi wa habar,
BBC wanasema 10-15 ndio wameswma public ila wengine hawajatangaza public
Fatilia mkuu, sio hao tu wako wengi
Very very rare. Ununuzi wa timu kubwa kama Chelsea unaanzia kwenye publicity kwa sababu ya mashabiki, sikatai kuna watakaofanya hivyo, ila trait ya kwanza ya mfanya biashara ni publicity, hata kwenye ndoa na sendoff za watoto wao wanafanya publicity sembuse kwenye uwekezaji wa sport unaohitaji atention ya mashabiki. Tusubiri tuone, hardly that to happen
Mfano haiwezekani Saudi Media Group wafanya publicity ya kutia nia halafu kwenye action yenyewe waje kunyamaza
Taarifa zinadai kuwa wameshindwa kukamilisha consortium na pia woga wa kukataliwa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Tuwekeane dau Mzee baba
Nafasi ya 3 kutoka mwisho amaSisi Kama Arsenali tunaitaka nafasi ya tatu
Subir mtaelewa shoo si bado 5Nafasi ya 3 kutoka mwisho ama
Hicho kiporo si ndio mnacheza na Chelsea wenyewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tatzo hufatiliii mpira Aseno na cheltako ote tumecheza michezo 28 upo mzee!!