Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kitu cha muhim bado ana nafasi ya kusahihisha n kuimprove,

Hata Christeansen kuna kipind alikuwa na makosa makosa ila sahiv anaonekana katulia,

Chalobah now anapapara.
Ananikera na stahili yake ya kukaba kw kurudi nyuma, mpk anafika kwnye box ndio anafanya maamuzi.
Makosa ya Christeansen yalikua madogo madogo sana y kurekebeshika, chalobar na mwenzie sarr hawafai hat kuwa sab ya chelsea.
 
Wiki hii ndio wiki ya mwisho ya kusubmit bids za kuinunua Club yetu

Ndani ya wiki hii mmiliki mpya atajulikana ila kuwa official inaweza chukua week 6
 
Nick Candy offering to provide short-term funding to Chelsea if it faces cash crunch because of government-imposed restrictions; Candy also pledges fans' seat on board if his bid for Chelsea is successful as the bank handling the sale of the club ask for best bids to be submitted by Friday

Swahili
  1. Timu ikipitia hali ngumu ya kifedha kwa sababu za serikali kweka vikwazo yeye atatoa pesa za kusaidia timu kupita kipindi cha mpito
  2. Pia kasema bid yake ikifanikiwa atawaweka wawakilishi wa mashabiki kwenye bodi
Apewe timu asipewe?
 
Ana sh ngapi
 
Waarabu mmmmh
 
Saudi Media wakiongozwa na Mohamed Alkheriji leo wamesubmit bid yao £2.7BN ya kutaka kuinunua chelsea,
Wanadai hawahusiani na serikali ya saudi arabia na hawajawah kuwa na uhusiano
 
Chelsea's successes is a product of corrupt practices by his owner - connected with acquisition and sales of two Russian oil companies (SIBNEFT and SLAVNEFT).
Huwezi tofauti mafanikio ya Chelsea na msabwanda wa Makonda ambao ni matokeo ya vitendo vya unyanganyi na ujambazi
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Nick Candy na Sir Martin Broughton wameform consortium ya kuinunua Chelsea
Nicky na Sir Martin Broughton ni mashabiki wa kuifia Chelsea
Candy anaongeza kusema kuwa ameishabikia Chelsea tangu akiwa na miaka minne
Amesem,a ataendelea kufanya hivyo bila kujali itaenda mikononi mwa mmiliki mwingine alimradi itakuwa mikononi salama

"I've supported Chelsea since I was the age of four," Mr Candy told Sky Sports before the 1-0 win over Newcastle at Stamfor Bridge on Sunday. "My dad was asked to play for Chelsea. I love Chelsea. I don't mind where it ends up, even if it's not with me, as long as it's in safe hands.
 
HAWA WA SAUDIA MEDIA WAMESUBMIT BID ILAKUPEWA NI NGOMA NZITO

There have been about 200 expressions of interest but many are not believed to be serious contenders. The Saudi Media Group are reported to have made a bid but any deal linked to Saudi Arabia would be difficult to complete.
 
Hii issue ya saudi media group ni ngumu sana,

Wakipewa italeta maswali vile vile wakinyimwa huku bid yao ikiwa kubwa kuliko za wengine italeta maswal mengi,

Kwanini wakatae bid kubwa kiasi hicho huku Walikubal newcastle wamilikiwe na wasaudia,

Ukishaingiza politics kwenye soccer ndio madhara yake haya,

Hapa naona tukiangukia kwa boehy-wyss consortium au kwa Nicky Candy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…