Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yule Mturuki wamekubaliana Paund2.8 milioni, bado paper work ndo unaendelea Hadi muda huu.
Deadline ya kupokea bids ni 15 march sasa sijui hizo habar za kukjbaliana umezitoa wapi???
Anyway tupe hiyo source????
 
Tetesi;Chelsea kumsajili winger wa lile sanchez yule rasta jamaa anajua aise
 
Anaitwa Renato Sanchez ni mchezaji mzuri ila hatufai Chelsea hana tofauti na Adama Traore anakimbia sana ila end results 1 out of 10. Alishacheza Bayern na hata PL alishacheza lakini perfomance yake ni ya kawaida sana.

Ousmane Dembele aliye majeruhi ni bora kuliko Sanchez squad player.
 
Alafu yule sio winga kama wanavyosema ni kiungo kiukweli naungana na wewe yule sio mchezaji wakumuweka benchi Kovacic au Kante wala Jorginho ni squad player addition si Bora tumchukue Ruben nerve wa wolves ambaye ana add something special ambacho viungo wetu tulionao hawana ambacho ni kupiga long ball pass
 
Kumbuka pia tunaye
1 Conor Garagher = Sanchez 5
1 Kovacic - Sanchez 8
Kante simlinganishi kwa sababu uchezaji wao tofauti kabisa
 
The prospect of having to spend around an extra £1BN, to rebuild Stamford Bridge is causing some parties interested in buying #Chelsea to rethink.

[via @Matt_Law_DT]
 
VAR kazini
20220307_143204.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom