Mwaka wa hasara huu, ni baada ya miaka mingi timu za Uingereza kukosekana kwenye robo fainali ya CL. Hispania wameingiza timu tatu, Madrid, Barca na Malaga. Wawakilishi pekee vibonde Arsenal jana wametoka kamasi bure. Kila la heri leo chelsea hapo darajani funga hao Steaua Bucharest
Mie hata sielewi hilo "joka la kibisa" ambalo haling'ati wana ling'ang'ania la nini. au katika contract yake lazima acheze???? linakimbia tu na kuchefua.
Huyu fundi saa kwanini hapendi kumuweka Ba amalize mchezo???!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.