hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,037
Tumekosa goli nyingi, Naona Werner yupo foamSasa tunatembelea kudra za Mwenyezi Mungu tu. Tunashambuliwa kama Afghanistan
Tumekosa goli nyingi, Naona Werner yupo foamSasa tunatembelea kudra za Mwenyezi Mungu tu. Tunashambuliwa kama Afghanistan
Acha umamaMmebebwaaaaaa goli halali kabisa
OffsideLukaku goaaaal
Unaangalia Kwa kutumia nn?Mmebebwaaaaaa goli halali kabisa
VARHilo goli la Lukaku hadi sasa siamini imekuwaje offside
Tetemeka hata mpaka nyumba ianguke ila tu usife. London hawajui hata kama upo. Ila utatesa familia na maumivu!Natetemeka!
Nashangaa kwa nini hata situlii wakati london hawajui hali yanguTetemeka hata mpaka nyumba ianguke ila tu usife. London hawajui hata kama upo. Ila utatesa familia na maumivu!
Mpira furaha. Tarajia kushinda ila usiogope kupoteza. Enjoy the game!Nashangaa kwa nini hata situlii wakati london hawajui hali yangu