Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

• Werner - 46 PL games, 7 goals
• Havertz - 43 PL games, 6 goals
• Pulisic - 64 PL games, 16 goals
• Ziyech - 35 PL games, 4 goals
• Hudson-Odoi - 71 PL games, 4 goals
 
Game tulizocheza kuanzia dec 1 mpaka sasa
 



Na hasara hizo timu isipomaliza top four inabidi kuna wachezji wauzwe na mtakuwa very restricted kusajili hahahaah.

Michezaji yenyewe haiuziki itabidi iuzwe kwa hasara sasa ili ku-free wage bill na muwachkue academy graduates waje kikosi cha kwanza.

Namuona Lukaku akielekea Spurs kwa Conte
 
Game tulizocheza kuanzia dec 1 mpaka sasaView attachment 2088297
Good news ni kwamba Chelsea kuanzia sasa hadi mwisho wa ligi wana mechi za kawaida sana, wao wenyewe tu washindwe kukusanya points
Katika hizo mechi 15 wakiweza kubeba pts 30 hadi 35 tu jumla watakuwa na pts 74-79 ambazo Spurs na Arsenal hawataweza kufikia. Tutaweza kushika nafasi ya 3 au 4. Kinyume na hapo, tukiendeleza hizi muvi za kihindi zinazoonyeshwa sasa tutaambulia nafasi ya 5 na Uropa inatuhusu mabingwa watetezi wa UCL

LABDA TUSHINDE TENA UEFA
 

Chelsea need to be worried about top four spot - Kepa​

Kepa Arrizabalaga admits Chelsea are starting to look over their shoulder in the battle for Champions League qualification after their slump continued with a 1-1 draw at Brighton.

In addition, London rivals Tottenham and Arsenal could soon start to threaten Chelsea's position in the top four as they each have a number of games in hand following the raft of recent postponements.

Goalkeeper Kepa is aware of that threat and targeting a swift upturn in results, beginning with Sunday's Stamford Bridge clash with Spurs.

"We are honest. We are in good positions in all the competitions - we are in the Champions League, we have the League Cup final and the World Club Cup - but in the Premier League we have dropped points in the last month," the Spaniard told the club website.

"We have to get back to winning ways because everybody is coming (up behind us).

"We need points because we want to be on top of the league, but we have to look at ourselves, improve and step up.

"We have another big game on Sunday, a London derby, and from there we go."
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa restricted kufanya usajil ni ngumu sana, kwenye ffp tushaepuka huko,

Kwenye issue ya kuzuiwa kutosajil hapo ni ffp na chelsea hawezi zuiwa maana nauza then anabuy

Mwez wa 6 kakusany almost 100M huku yeye akitumia 98 kama sijasahau
 
Baada ya game ya spurs hatutokuwa na game yeyote ya league mpk hapo tutakapotoka cwc


Nahisi baada ya hapo tutakuwa tushakaa sawa
 
Kosi la leo, baadae kdg nitawaletea kosi kamili, nmeongea na Profesa Sir Ralf Rangnick anasema kosi litabadilika kdg na fomesheni pia tutacheza 4 3 3, usipange kukosa nyie yatima [emoji116][emoji116]
 
Nyie takataka msilale leo mje muone wanaume wanachezaje mpira sio nyie mnacheza matakataka tu.
 
Kosi la leo, baadae kdg nitawaletea kosi kamili, nmeongea na Profesa Sir Ralf Rangnick anasema kosi litabadilika kdg na fomesheni pia tutacheza 4 3 3, usipange kukosa nyie yatima [emoji116][emoji116]View attachment 2088526
Mavi takata hakuna kitu hapo, Bruno na Ronaldo hawaivi
Maguire na Luke Shaw kocha kashasema wauzwe mbona wako uwanjani, Sancho Kaflop harudi tena kwenye form huyo. Hapo MOTM ni Degea tu
 
Nyie takataka njooni muone kosi la dunia linacheza leo usikubali kusimuliwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…