Sawa ila hata katikati watoaji wa zile pasi za hatari kama za Fabregas hayupo. Kovacic anajitahidi ila hajafikia viwango, Kante yeye ana role nyingine tofauti.The Blues tunacheza vizuri sana kuanzia nyuma mpaka katikati, tunakaba vizuri tunajilinda vizuri.
Kimbembe kuanzia katikati kwenda mbele hadi kwenye umalizaji. Kwanza Back pass milioni 1 per mechi
Kwenye umalizaji ndio majanga kabisa hakuna ubunifu, hakuna mashuti, hakuna ukatili mbele ya goli, hakuna hatare, kiufupi ushambuliaji wetu ni wa kupapasa na kubahatisha kufunga goli.
Wewe ni mgeni na chelsea ndio maana umeandika hivi.Hakuna usajili wa pesa kubwa hvyo usiomuhusisha kocha we jamaaa Tuchel alimtaka Lukaku
Tupe matokeo ya mechi 12 zilizopitaKwa kweli pale mbele ni use
Yaani Arsenal iwe juu ya chelseafc? haupo serious mzee hata kama una hasira usipende kufanya jambo kwa kuongozwa na mihemko
Hizi n probability Tu Mzee..Tupe matokeo ya mechi 12 zilizopita
Chelsea kapata points ngapi..... ..?
Arsenal kapata point ngapi ........?
Lazima Arsenal atakuwa na trend nzuri kuliko Chelsea
Spidi ya Chelsea ni 50km/hr
Spidi ya Arsenal ni 80km/hr
Sasa mtuambie nani atamaliza nafasi ya 3 hapo
Tusipoangalia hata nafasi ya 4 itaenda kwa Spurs
Points gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
Mpira unachezwa uwanjani jombi..na pia kuna bahati na upepo mbaya km tungeenda na hizi probabilities basi stars leo wangekuwa wanacheza afcon....!Points gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
Ndio maana wachina walisema no data no talk
- Arsenal 27pts
- Chelsea 18pts
- Tottenham HotSpurs 24pts
Mpira ni sayansi na sayansi ni takwimu wewe unatulazimisha tubaki na imani kwa vitu vilivyo wazi kabisa
Katika mechi 38 na zilziobaki 16, sample ya mechi 12 inakubalika kabisa kidunia kuweza kugenerate prediction sahihi
Msimamo wa EPL May baada ya mechi za mwisho ni
Miujiza na au majeruhi wote wapone na tusipate tena majeruhi ndio itakayotuokoa tusiwe nje ya top 4
- Mancity
- Liverpool
- Arsenal
- Spurs
- Chelsea
SwaOFFICIAL: Thomas Tuchel has won #TheBest FIFA Menβs Coach award for 2021.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Du mkuuu bado unabishana na lembu mhh unamoyo sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ni mute Tu broDu mkuuu bado unabishana na lembu mhh unamoyo sana mkuu
Bahati na Upepo, kumbe tuko sayari tofautiMpira unachezwa uwanjani jombi..na pia kuna bahati na upepo mbaya km tungeenda na hizi probabilities basi stars leo wangekuwa wanacheza afcon....!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Arsenal anapata matokeo match ndogo zote.
Sisi ni Bora sema tu ma Corona plus majeruhi hakika wale city wangetaga huu msimu hujatuendea fresh Ila sisi bado ni mabingwa wapya tunatawazwa hapo May ππππUkikuwa anahema na kubinua kile kiuono chake kama tipa inabinua mchanga, kakutana na KDBπ .
Unauliza kama mimgeshinda ningesemaje??? Ningesema mmebahatisha tu maana sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza fikiri kuwa Chelsea ni bora kuliko Man City, unless awe ni KICHWA MAJI kama wewe.
Uuze kamanda Kova..!? Una akili kweli wewe??!Kiukweli ween need to sort ishu ya Rudiger na Christensen.
Tuuze Joginho na Kova tusajili kiungo wa caliber ya Fabregas.
Tusajili back up ya Kante.
Tusajili wingers wawili wakali, tuachane na Pulisic na Ziyech.
Yakikamilika haya ya juu, tuachane na back 3, Ili ipatikane accomodation ya Mount na Kai, wacheze nyuma ya Striker wakipokezana.
Strikers wanaweza kubakia Werner na Lukaku.
Somehow tutakuwa tumetransform mpira wa back pass na tutakuwa Threat.
Kwamba arse8 amalize juu yetu..!!? Em kuweni siriyas na mpira wakuuPREDICTION
TOP 4 - EPL 2021/2022
1. Manchester City [emoji471]
2. Liverpool fc
3. Arsenal fc
4. Chelsea fc
Tukutane mwisho wa msimu.
Hahahahah uefa hauitaki tena?Msimu huu tupiganie makombe haya Club world cup,carabao,FA