John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Fuatilia Mzee kocha wako mpk anadiss michuano ya Africa na kusababisha kuchukiwa na Makocha km Yule wa Senegal....sio unakuja hapa na kutema shuduYaani unaongea useless mkuu, kwamba klopp ang'ang'anie mane n salah kwa sababu ya chelsea? Kwanza sisi wenyewe hatuna majigambo kama yenu ya kuwa tunakikosi kipana na hilo lipo wazi je' nyie wenyekikosi kipana?
Ya kweli hiii?
Ya kweli hiii au edit? Mkuuu
Huenda Wana vigezo vyao tofauti na kigezo ulicho kiangalia weweInachekesha [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]mashindano ya UEFA beki zetu zimeruhusu goal 4 tuu ila hawapo kwenye list yao hao waliowaweka ndo wanachekesha zaidi View attachment 2044131
wamerud mkuu mambo n moto wakina cheek watupishe kdogoYa kweli hiii au edit? Mkuuu
Vipi kuhusu mateo KovacicI missed them for sure......now they are back. View attachment 2044532
Huyo chalobah wamuache tu apone vizuri hana impact yoyoyote, wasimrush.I missed them for sure......now they are back. View attachment 2044532
baba balaa, chelsea yetu iligeuka toboa toboa !!Dah afadhali ile kiungo yetu itulie sasa. Kovacic karantini ya covid inaisha lini?