Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hii game msiporudi kwenye vitabu kusoma notes upya mnapigwa
kisa man u alifungwaHii game msiporudi kwenye vitabu kusoma notes upya mnapigwa
227 SS variety 2Dstv channel namba ngap
Umeongea kweli kabisa na kma TT ili acheze karata zake vzr dgo na callagher January arudi cheki kov na ngola majeruhi je jorg nae akiapa majeruhi tumekwishaTunacheza vibaya sana, tunapoteza mipira mingi ,
Saul inabidi atoke aingie Jorginho
Kwa watford walivyocheza walistahil kuwambele ni vile tu mendy katuweka mchezon
Upande wa Alonso ndipo watford wanapoputisha mashambulizi yao,
Kwa wingback ya azp n alonso hamna kitu hapa
Nikuomba tu Reec James asipate injury tofauti na hivyo msim wetu utakuwa ushaisha
Chalobah naye majeruhiUmeongea kweli kabisa na kma TT ili acheze karata zake vzr dgo na callagher January arudi cheki kov na ngola majeruhi je jorg nae akiapa majeruhi tumekwisha
Hii timu sijui kama tutatoboa Desemba hii, wachezaji takriban 7 wa first eleven majeruhi, ona huu uwozo wa leo. Kuna haja kova arudi tuu na reece,, chilwell tutammis sana..
Yule kijan calagher arudi hata keshoYani kiufupi chelsea bila jorginho hamna kitu huyu jamaa anatubeba sana pale kati inabidi apatikane mbadala wake lasivyo kama mnavyoona leo
Huyo jamaa ni attack midfielder shida yetu ni no 6Yule kijan calagher arudi hata kesho
Du tuna hatari sana majeruhi kila game cheki dgo chaloba nae msumariHuyo jamaa ni attack midfielder shida yetu ni no 6
Kante, Reece, Kova, Chalobah, Chilwell, Jorginho and werner,, ni wangapi hao kama unajua hesabuHao saba ukiwemo na ww?