Huyu kocha ana hatari sanaSaul
Huyu kocha ana hatari sanaSaul
Sijui nini Watford analaets zereuHuyu kocha ana hatari sana
Wachezaji injury Mzee au ulitaka wacheze hvyohvyo kina kante , Kova na jorgi?Huyu kocha ana hatari sana
Hadi jorg majeruhi?Wachezaji injury Mzee au ulitaka wacheze hvyohvyo kina kante , Kova na jorgi?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Jorg na Reece walipata matatizo kidogo ..ndo maana hawapo hata benchiHadi jorg majeruhi?
Wingback ya Alonso na Azplicueta ngoja tuone itakuwaje leo11 yetu hiiView attachment 2029712
Jorg yupo bench Ila kabla ya game alikuwa n matatizo ya hamstring kidogo so naona kocha kaamua kuanza naye benchiHadi jorg majeruhi?
Jorg yupo bench mkuuuJorg na Reece walipata matatizo kidogo ..ndo maana hawapo hata benchi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Jorg yupo benchiJorg na Reece walipata matatizo kidogo ..ndo maana hawapo hata benchi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
TT kasema overloaded sio hamstring. Kapumzishwa tu kwa sababu ya ukaribu wa mechiJorg yupo bench Ila kabla ya game alikuwa n matatizo ya hamstring kidogo so naona kocha kaamua kuanza naye benchi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sababu ni overloaded . Wamepumzishwa tu kwa sababu ya ukaribu wa mechiJorg na Reece walipata matatizo kidogo ..ndo maana hawapo hata benchi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna shabiki alizima ( cardiac arrest) so alikuwa anapatiwa huduma ya kwanza n mechi ndo ikasimamishwaMbona game imesimama?
Powa dillingerKuna shabiki alizima ( cardiac arrest) so alikuwa anapatiwa huduma ya kwanza n mechi ndo ikasimamishwa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app