Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

WAZO:- Kukosekana kwa Chilwell baada ya Injury, nadhani TT amtumie Azpilicueta upande wa kushoto badala ya Alonso.

Azpilicueta ana kasi na nguvu na mkabaji mzuri kuliko Alonso.

CONTE alimtumia sana Azpilicueta upande wa kushoto na alimudu vizuri sana hiyo nafasi na tukabeba ubingwa EPL

Mnaonaje wazee?
Hata game ya Juve alivoumia Benchilwell akamuingiza alzpicueta
 
Kuna vitu ukivifikiria vinaleta raha!
Pesa za usajili zilizotumika:
Thiago Silva - paundi 0
Andreas Christensen - paundi 0
Trevoh Chalobah - paundi 0
Reece James - paundi 0
Mason Mount - paundi 0
Ruben Loftus-Cheek - paundi 0
Callum Hudson-Odoi - paundi 0
Billy Gilmour - paundi 0
Conor Gallagher - paundi 0

Wakati huo Utd na Man City na Liverpool wametumia mpunga kibao

View attachment 2023181
Kama tungewanunua ingekuwa hivi kwenye Euro

Thiago Silva - Euro15M
Andreas Christensen - Euro 60M
Trevoh Chalobah - Euro 40M
Reece James - Euro70M
Mason Mount - Euro 60M
Ruben Loftus-Cheek - Euro 50M
Callum Hudson-Odoi - Euro 40M
Billy Gilmour - Euro 30M
Conor Gallagher - Euro 40M
TOTAL Saved = Euro 405M
 
USHAURI tena WABURE KABISA.

Usibeti Chelsea anashinda, utakua umeamua kumpa pesa yako bure muhindi.

Nibora usibeti, kwani hata Chelsea ikifungwa utakua umeokoa moja, kuliko ukabeti ukapoteza vyote, (pesa na ushindi)

Nawahakikishia Chelsea hawezi mfunga Man utd labda itolewe kadi nyekundu kwa Man utd, kinyume na hapo sahauni kuhusu hilo.

Nb. Usiniulize mganga kutoka wapi.
 
WAZO:- Kukosekana kwa Chilwell baada ya Injury, nadhani TT amtumie Azpilicueta upande wa kushoto badala ya Alonso.

Azpilicueta ana kasi na nguvu na mkabaji mzuri kuliko Alonso.

CONTE alimtumia sana Azpilicueta upande wa kushoto na alimudu vizuri sana hiyo nafasi na tukabeba ubingwa EPL

Sawa Alonso mzuri kwenye kushambualia ila sio mzuri kwenye kukaba, nadhani makocha wa timu pinzani watakuja na mbinu za kutushambulia kupitia upande wa Alonso

Mnaonaje wazee?
Hata Hilo Tuchel analitambua ndo maana hata game ya juve alimuingiza azpi nafasi ya chilwell
 
WAZO:- Kukosekana kwa Chilwell baada ya Injury, nadhani TT amtumie Azpilicueta upande wa kushoto badala ya Alonso.

Azpilicueta ana kasi na nguvu na mkabaji mzuri kuliko Alonso.

CONTE alimtumia sana Azpilicueta upande wa kushoto na alimudu vizuri sana hiyo nafasi na tukabeba ubingwa EPL

Sawa Alonso mzuri kwenye kushambualia ila sio mzuri kwenye kukaba, nadhani makocha wa timu pinzani watakuja na mbinu za kutushambulia kupitia upande wa Alonso

Mnaonaje wazee?
Utakuwa umesahau mkuu...

Conte alimtumia sn Azp km beki wa upande wa kulia kwa wale mabeki wa nyuma watatu...

Alonso na Victor Moses walitumika sn km Wingbacks...

Huo upande wa kushoto tumuache tu Alonso anafaa sn na Hana shida kabisa....

Azp apangwe nafasi ya Chalaboh au ya Reece....
 
Mkuu weka kumbukumbu sawa Alonso was best pindi conte akiwa darajani
Chelsea walikuwa na back three
David Luiz
Azpi
Rudiger

Na huyo Alonso alikuwa wing back pamoja na victor Moses
 
Utakuwa umesahau mkuu...

Conte alimtumia sn Azp km beki wa upande wa kulia kwa wale mabeki wa nyuma watatu...

Alonso na Victor Moses walitumika sn km Wingbacks...

Huo upande wa kushoto tumuache tu Alonso anafaa sn na Hana shida kabisa....

Azp apangwe nafasi ya Chalaboh au ya Reece....
Mmh mkuu hao madogo uliowataja Kwa sasa wapo Moto ..Labda km unasemea rotation wise Sawa...Ila leo Tuchel atakuwa anaumiza Kichwa yupi aanze Kati ya chalobah / Christensen.....Reece terminator lzm aanze
 
WAZO:- Kukosekana kwa Chilwell baada ya Injury, nadhani TT amtumie Azpilicueta upande wa kushoto badala ya Alonso.

Azpilicueta ana kasi na nguvu na mkabaji mzuri kuliko Alonso.

CONTE alimtumia sana Azpilicueta upande wa kushoto na alimudu vizuri sana hiyo nafasi na tukabeba ubingwa EPL

Sawa Alonso mzuri kwenye kushambualia ila sio mzuri kwenye kukaba, nadhani makocha wa timu pinzani watakuja na mbinu za kutushambulia kupitia upande wa Alonso

Mnaonaje wazee?
Kaa kimya huna unachojua kipigo kinakuja leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom