Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tangu Hazard ahamie Real Madrid takwimu zake hizi hapa

mechi 38 za ligi kafunga goli 4 tu na assists 6 tu kwa misimu miwili jumlisha huu hadi sasa
UEFA mechi 12 goli 1 na assist 1

Zile addons zetu jamani zitakuwa zimeenda na upepo

View attachment 1991777
Na Ancelotti kasema hawezi kumtumia, jamaa January atafute timu tu
 
Ancelotti hajasema direct kwamba hamtaki ila kasema kwa sasa wako wachezaji wengi wanamzidi kwenye team selection kwa sababu ya injuries za mara kwa mara. Ila kasema ana uhakika mwaka huu atarudi kwenye kiwango chake na akifanya hivyo atapata muda zaidi wa kucheza kuliko alivyo kwa sasa.

Maelezo ya Ancelotti akiongea na wanahabari hii hapa

"He [Hazard] can play 4-3-3 on the left or 4-4-2 above or behind the striker," Ancelotti told a pres conference on Tuesday, via our sister site the Express

"He is ready to play, but the problem is that there is a coach who prefers another player.

"He does not have a star status at Madrid because he has had many injuries, and little by little, he will have his best version.

"I am sure that this season we will see his best version and that he will play more than he is doing now.

"Hazard has it. Everything: quality, motivation. He has to endure, what happens is that sometimes the coach prefers other players."
 
Yuko bussy kwenye majukwaa ya Liverpool Arsenal na Manure. Kule kote jamaa ni maarufu kweli kweli
sasa inakuaje hajui timu yake inacheza na nani maana mwanzo nilidhani labda jamaa yupo sehemu ambazo mtandao ni shida labda kijijini huko analima
 
Kovacic alianza kuleta ile nyota ya Fabregas halafu kapata injury
Hapo sasa inabidi hata akina Chilwell na Chalobah wacheze kiungo maana wanaweza, Game iliyopita nadhani Chilwell aliingia akacheza kiungo badala ya Barkley. Hata Chalobah naye ni mzuri kwenye kiungo, attaching na DM

  1. Jorgninho ---------------------------- N"golo Kante
  2. Jorgninho ---------------------------- Ross Barkley
  3. Jorgninho ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
  4. Jorgninho ---------------------------- Saul Niguez
  5. N"golo Kante ---------------------------- Jorgninho
  6. N"golo Kante ---------------------------- Ross Barkley
  7. N"golo Kante ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
  8. N"golo Kante ---------------------------- Saul Niguez
  9. Ross Barkley ---------------------------- Jorgninho
  10. Ross Barkley ---------------------------- N"golo Kante
  11. Ross Barkley ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
  12. Ross Barkley ---------------------------- Saul Niguez
  13. Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Jorgninho
  14. Ruben Loftas Cheek ---------------------------- N"golo Kante
  15. Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Ross Barkley
  16. Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Saul Niguez
  17. Saul Niguez ---------------------------- Jorgninho
  18. Saul Niguez ---------------------------- N"golo Kante
  19. Saul Niguez ---------------------------- Ross Barkley
  20. Saul Niguez ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
 
Uchafu
 
ROBO FINAL
20211030_142429.jpg
 
Mechi zetu za December hapa ndo kikosi kipana kinapohitajika

1st- Watford (A)
4th- West Ham (A)
8th- Zenit (A)- UCL
11th- Leeds (H)
16th- Everton (H)
19th- Wolves (A)
21/22/23- Brentford (A)- LC
26th- Aston Villa (A)
29th- Brighton (H)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom