Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wameacha ule mchezo wa counter na long balls, sidhani kama watafunga tena kwa huu mchezo wa kuremba remba pasi za nyuma au pembeni
 
Mbona huendelei kutoa update za kosi lako kuwa lishafungwa goli mbili huko au shida yako ilikuwa kutuvurugia uzi wetu

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kosi kama kosi.
Screenshot_20211021-001147.jpg
 
Kosi lina Bruno, Ronaldo, Rashidi Mfaume, Pogba, Sancho, Cavani, Fred, Varane, Matic, kwakweli hili ni kosi la dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dunia nzima kwa ss hakuna timu ina wachezaji World class kama waliopo Man Utd.
 
Hapo bado sijawataja watu kama kina Martial the frenchman, Lingardinho, Mata babu, Tommy the terminator, Greenwood fundi ambao kwenu vitimu vyenu vidogovidogo hao wanakuwa mastar.
 
Kwahiyo hao wakija chelwowo wanakuwa mastaa wa timu hahaha
Hapo bado sijawataja watu kama kina Martial the frenchman, Lingardinho, Mata babu, Tommy the terminator, Greenwood fundi ambao kwenu vitimu vyenu vidogovidogo hao wanakuwa mastar.
 
Ujue Atalanta co mchezo wakuu, kama angekutana na vitimu vyenu hivi vya kuunga unga mngechezea, sema kakutana na timu kubwa duniani yenye kikosi kipana wakapigwa na kitu kizitoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hao wakija chelwowo wanakuwa mastaa wa timu hahaha
C umeona wachezaji wadogo kama kina Lukaku tunawafukuza ila kwa hivi vitimu vyao vidogo vidogo wanaimbwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cc ndiyo Manchester united, timu kubwa duniani yenye mvuto na mashabiki wengi zaidi duniani, yn man u ikifungwa dunia imefungwa, ikishinda dunia imeshinda.
 
The Theatre of dreams kudadadeki what a comeback, man u raha saanaaa, katika watu kumi duniani basi sita lazima wawe wanashabikia Manchester united[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ma Cheltako huwa yanaumia kweli kweli yakiona timu kubwa duniani inauwaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani leo yameshinda lkn hayashangilii kisa United kauwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani leo yameshinda lkn hayashangilii kisa United kauwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Peleken kelele zenu huko kwa thread yenu..mnshimda kwa tabu sana na hamfiki popote
 
We dogo
The Theatre of dreams kudadadeki what a comeback, man u raha saanaaa, katika watu kumi duniani basi sita lazima wawe wanashabikia Manchester united[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa na adabu..chelsea haifananishwi hiyo tim yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom