Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ishu sio kuwa bingwa wa ulaya je ni bingwa Mara ngapi wa ulaya. Wewe kwangu kwa ulaya bado dogo kamtambie Arse8
Umezaliwa miaka ya 2000, unajivunia ubingwa wa miaka ya 1960, huna tofauti na mtu anayejitekenya huku anacheka mwenyewe akiwa anajiangalia kwenye kioo

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Team of the Week 5

Formation 4-3-3

Manager of the week: Thomas Tuchel

Sadio Mane ---------- Cristiano Ronaldo ----------- Mo Salah

Martin Odegaard -------- Ngh'olo Kante --------- Doglas Luiz

Marcos Alonso ---- Antonio Rudiger ----Thiago Silva ------Matty Cash

David Degea
 
Kuna jamaa kule Liverpool Encho eti kaweka kinachotuweka pale juu ni alphabet letter, yaani C ya Chelsea iko juu ya L ya Liverpool nikacheka kumbe wengine wanauwezo wa kushika kalamu au keyboard lakini uwezo wa kuchambua hawana

Leo ligi ikiisha matokeo hivi, Chelsea ni bingwa kwa sabbau ya goli la ugenini dhidi ya Liverpool. Yaani katika goli 12 tuliyofunga moja tumemfunga Liv erpool nyumbani kwake. Kwa hiyo kwa sheria ya EPL, timu zikifungana kila kitu wanaangalia H2H result, mwenye H2H results bora ndie mshindi. Kwa hili sisi tuna head to head better results dhidi ya Liverpool kwa sababu ya ile droo tukiwa pungufu tuliyopigania pale Anfield

Unable to split the difference between Liverpool and the reigning European champions, Thomas Tuchel’s side currently sit in top spot by virtue of alphabetical order.
 
Ingekua lile game tumedroo bila bila.
 
Thiago silva's game by numbers Vs Spurs:

100% Aerials Duals won
100% shot accuracy 🎯
7 Ball Recoveries
6 Clearances
5 Duals won
5 touches in the opp. Box
4 Aerial duels won
3 interception
2 shots
1 goal scored ⚽
0 Fouls committed
0 goals conceded

Minister of defence 💪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom