Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I don't buy ubebwaji and always make fun aout it, but leo...kali!

Leo upo mkuu una bahati picha zangu zina ban ngoja aje Mungiki NBrother awawekee kama mtashinda khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mpira wa brown envelopes huwa chiangalii khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha nani katoa mpunga zaidi leo ... ... ..khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We will dust off and move on. But RDM has to be smart when he picks his team and especially on a critical and emotional game like today where the odds are naturally against you.

He should have started Moses or Sturrridge and not Torres!
 
I can feel your pain bro..😀😀😀😀😀
 
Put aside the Ref issues, We did not have to give up 2 goals in the first 15 minutes! That has to be focal point of addressing today's loss!

Ajiulize RDM, about his team selection and what happened defensivelly the first half hour!
 
Mzabina Wacha,

Leta picha basi kama kawaida yako

Mkuu picha ninazoweka ingawaje zipo kwenye public domain zimekuwa banned ... ... ... sorry mate mchubiri Mungiki Brother atatua chacha hivi kutoka Kibera ... .ataweka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

gemu kama hizi za chelski na manu ingekuwa yanga kung fuu fc i can say sorry to mark maana angepigika balaa..
 
tatizo chelsea cheza yao ni nzuri kama wanacheza na kina wigan, west brom watawachezea bt ukikutana na team ambazo ziko organised wanawamaliza....ndo mana mlifungwa CL na leo pia...nyie mnacheza 4-2-3-1 tatizo ni kua hazard, eden na mata hawajui kudefend coz inatakiwa wakati mkipoteza mpira mrudi kwenye 4-5-1 muwasaidie mikel na ramires 2 holding midfielders..sasa leo tactic ya babu ilikua ni kujaza midfield so akaenda na 4-5-1 rooney valencia na young kazi yao ilikua ni kudefend na ku counter attack so wakienda mbele inabadilika inakua 4-3-3 and the plan worked very well..chezea babu fergie... na sasa hivi timu zinaangalia zinajifunza jinsi ya kuwafunga chelsea ni rahisi sana kwa sababu wale attacking midfield wao watatu hawajui kudefend so wakipoteza mpira mna counter attack unakuta midfield hakuna mtu mnaaenda mbele bao...

MENTOR MENTOR WHERE ART THOU!!! :biggrin1::happy:
 
Sio sahihi, Man katika kudefence walitumia 5-5-1 na wakati wa kushambulia walitumia 4-3-4 maana ndani ya uwanja walikuwa 11 na kipa wa 12
 
tatizo chelsea cheza yao ni nzuri kama wanacheza na kina wigan, west brom watawachezea bt ukikutana na team ambazo ziko organised wanawamaliza....ndo mana mlifungwa CL na leo pia...nyie mnacheza 4-2-3-1 tatizo ni kua hazard, eden na mata hawajui kudefend coz inatakiwa wakati mkipoteza mpira mrudi kwenye 4-5-1 muwasaidie mikel na ramires 2 holding midfielders..sasa leo tactic ya babu ilikua ni kujaza midfield so akaenda na 4-5-1 rooney valencia na young kazi yao ilikua ni kudefend na ku counter attack so wakienda mbele inabadilika inakua 4-3-3 and the plan worked very well..chezea babu fergie... na sasa hivi timu zinaangalia zinajifunza jinsi ya kuwafunga chelsea ni rahisi sana kwa sababu wale attacking midfield wao watatu hawajui kudefend so wakipoteza mpira mna counter attack unakuta midfield hakuna mtu mnaaenda mbele bao...

MENTOR MENTOR WHERE ART THOU!!! :biggrin1::happy:
lakini mwisho wa siku .....Mark Clattenburg was man of the match...
 
hivi nyie mnalalamika refa kwa sababu mmefungwa....mnajua ivanovich kapewa kadi nyekundu kihalali sawa? wote tunakubaliana na hilo kamkwapua young and he was the last defender hiyo ni straight red card...kafanya makosa mawili kumpa kadi torres sema torres tayari alikua ashapewa kadi mara ya kwanza ndio mana katolewa...alimpa pia kadi valencia kwa ku dive wakati ukiangalia replays hakudive so valencia angekua ashapewa kadi nyingine kabla ile ingekua ya pili angempa nyekundu na valencia pia...huyu refa kwa taarifa yenu ashampaga kadi nyekundu vidic, evans hata fergie hampendagi sasa mnavosema anatupendelea hata sielewi hayo ni maneno ya mfungwaji mngeshinda msingesema kitu....yameshapita lalamikeni lakini mkimaliza table inasema gap ni one point....mmekwisha habari nyie nguvu za soda hakuna kitu jana mmekutana na wanaume :biggrin1:
 
nan kamwacha mwenzie
 
Unaongea sana lakini hausemi goli la tatu ni offside! Jaribu kukubali kwamba mmebebwa, vinginevyo mlikuwa mnachezea kichapo.
 
kusema kweli mpira unaharibika ikiwa refa anafanya mistake zinazoharibu mchezo Tores sio kadi na Rooney watu hawakuiona kwani alipiga mguu mtupu bila ya mpira na wala hakuwa na nia ya mpira
Chelsea walikuwa mbele ya Manu na kulikuwa na kila hali ya kushinda hapa tuzungumze mpira na sio ushabiki mimi sio Manu wala Chelsea
 
:biggrin1: ndio maana nawapendaga washabiki wa mpira hua wanaonaga upande wa timu yao tu...hivi mbona hakuna hata mtu mmoja kwenye hii forum ya sports kaongelea ila kung fu torres aliyompiga cleverley kipindi cha kwanza? kama huyu refa anatubeba mbona hakumpa torres kadi nyekundu? sheria ni kua ukinyanyua mguu ukampiga mchezaji teke kwenye tumbo au kifua ni red card..sasa mbona torres hakupewa....torres hakutakiwa acheze kipindi cha pili....acheni ubishi wa kitoto nyie watu mnakua kama mmejua soka juzi....mjue katika season nzima kuna magoli ya offside timu zote zitapewa...kuna penati timu zitapewa au kunyimwa bila haki kuna so many decisions zitafanyika over a season and that's why football is such an emotional game coz so much is happening....DAAAH kuongea na wabongo mpaka upige makelele ndio wakuelewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom