Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Club World Cup games. Ziyech and Mendy going to Afcon. Kante struggling to stay match fit. Jorginho being overused. Likely Pulisic injuries. All probably around the same time. Title challenge
Pulisic hayuko injury, tested positive tar 28/8 nadhani ila sasa yuko tayari kwenda International break kuichezea Marekani kwenye World Cup Qualifier
Aliyeko injury ni Ngolo Kante kwenye mechi na Liverpool
 
Kubeba UEFA na EPL ni rahisi sn kitu kikubwa tunatakiwa kuongoza ligi ya EPL mapema sn na kuwazidi points timu pinzani karibu 15 hapo biashara inakuwa imeisha ktk EPL inabaki ktk UEFA tu.

Na hiyo Consistency ya kushinda games ktk EPL yaani inatakiwa tuianze sasaivi mpk kufika mwezi wa kumi na moja huko sisi tuko juu hapo na tumewazidi points kibao tu alafu tunabakiza kz ktk UEFA tu....

Kwahiyo kubeba hizo ndoo mbili ni rahisi tu kwa timu ilivyo sasaivi!
Acha kuwa kilaza mkuu
 
Saul Niguez will join Chelsea on loan from Atletico Madrid, per @FabrizioRomano
20210831_202624.jpg
 
Leo usiku tutegemee usajili wa
  1. Saul Niguez - Huyu jamaa kaamua kusukuma usajili uharakishwe baada ya siku chache huko nyuma kukataa kuaja Chelsea kwa sababu ya kuogopa kukosa muda wa kucheza dhidi ya Kante, Jorginho na Kocacic
  2. Jules Kounde - Tutegemee suprise hapa kwa sababu Sevilla wamekataa Euro mil 55 ambazo Chelsea wametoa hivi karibuni baada ya ile ya Euro mil 50 kukataliwa pia. Wao wanataka Euro mil 70
 
Saul tiyari

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huyo Saul ni mzuri?
Hyo si backup nzuri Mzee ya kante, au Kova na jorginho....pia ana sifa ya kupiga makombora Jambo ambalo tumeshindwa kulipata Kwa midfielder wetu miaka ya karibuni....Labda Barkley kidogo alijaribu...Ila kina kante sio Sana, jorginho n kovacic ndo kabisaa hawapigi makombora....dili zuri Kwa upande wangu

Lembu... Sioni umuhimu wa Kounde kuja Chelsea akae 2 alipo.. Niguez ashakuja beki atacheza Chalobah

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nilipenda sana tumchukue Tchouameni
Hyo si backup nzuri Mzee ya kante, au Kova na jorginho....pia ana sifa ya kupiga makombora Jambo ambalo tumeshindwa kulipata Kwa midfielder wetu miaka ya karibuni....Labda Barkley kidogo alijaribu...Ila kina kante sio Sana, jorginho n kovacic ndo kabisaa hawapigi makombora....dili zuri Kwa upande wangu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nilipenda sana tumchukue Tchouameni
Saul anakupa uzoefu na pia ni midfielder ambaye ni mzuri kwenye kukaba tofauti Sana na kina Jorginho na Kovacic lakini ni Versatile player anaweza kucheza nafasi 4 tofauti bila kusahau anajua kupiga mashoot na ni mzuri kwenye pass ndefu za counter attack kifupi ni bonge la mchezaji binafsi nimefurahishwa Sana na Huu usajili
 
Of course huyu angetupatia advantage ya height kwenye set pieces maana wachezaji wetu wengi ni kimo cha kawaida. ukikutana na timu kama Burnley ni tatizo
Nadhan sababu yakuachana na usajili wa tchoumen ni kufocus summer ijayo kwa usajil wa declan rice kwa kuwa ndie priority ya kwanza ya tt na board

Hope summer hii tumefanya usajil mzuri
 
Saul anakupa uzoefu na pia ni midfielder ambaye ni mzuri kwenye kukaba tofauti Sana na kina Jorginho na Kovacic lakini ni Versatile player anaweza kucheza nafasi 4 tofauti bila kusahau anajua kupiga mashoot na ni mzuri kwenye pass ndefu za counter attack kifupi ni bonge la mchezaji binafsi nimefurahishwa Sana na Huu usajili
Na ndio maana TT akampenda, sasa hivi Chelsea ni hatari kwenye counter
Japoo stast zake ziko chini ya midfielder wetu nategemea atafit kwenye mfumo wa TT wa 343 na hivyo kuboresha kiwango chake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom