Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thats part of the game.......tungekua tunajua litokalo tokea hamna timu ingekua ina fungwa, hao washabiki waanche hizo lawama zinavuja wachezaji morale
We all know that is part of the game, lakini pia watu kusema hivyo walivyosema ni part and parcel of the game
Alonso anacheza vizuri sana na hata angefanya hivyo mchezaji yeyote lazima kuna mashabiki wangeongea
Of course akiwa na repeated error za namna hiyo ndio itaanza kuleta walakini kwenye on-field concertation behaviour yake
 
Dortmund wanamtaka Odoi
Tuwape tusiwape?
Nini maoni yako?
 
TT on Ben Chillwell not playing

"When he arrived Marcos Alonso had five weeks in his legs from pre-season. He played the first competitive matches after a fantastic pre-season. He was simply way more ready physically which was natural because of the training session and his fantastic games.

"He played the Super Cup final and three Premier League games. Also, we only have three substitutions allowed and this is a huge problem."

The German continued: "Chilly needed his time in training to adapt to the intensity. He is ready now but now wasn't the time to push him into the cold water.

"It is a bit sad because you have more tactical opportunities if you have five changes. I don't understand the arguments of the little teams that they have a disadvantage in this case. I was also a coach of a little team and I would have loved to have five players available.

"I would have made them run 16 kilometres against the top teams. I think it is a huge disadvantage in general in Europe but why do I complain?"
 
Mechi ya Liverpool na Chelsea imenifanya nitafakari mambo mengi sn!

Chelsea iko ktk kiwango cha juu sn na wanazidi kuimarika kila siku ktk kila kitu!

Sasa na kwa namna walivyo serious na hali ya kupambana ilivyo juu namna hii, na walivyo zoea mbinu za kocha na mfumo wao na kuuishi na kuwa sehemu ya maisha yao. Naiona Chelsea hii msimu huu ikiwa bingwa wa EPL na UEFA. Na watamaliza ligi msimu huu wakiweka record kubwa na za hatari sn!

Hii timu si mchezo yaani inatisha sn na ni timu iliyo na mchanganyiko wa umri kuna vijana wadogo na umri wa kati. Kwahiyo ni timu ambayo ktk miaka mitatu ijayo itatupa raha sn....

Game ya Liverpool na Chelsea haikua rahisi kabisa km wengine wanavyoweza kufikiria. Kutoka An field na point moja huku tukiwa pungufu na hatuna Kante kwa dk 45 sio jambo rahisi ata kidogo.... Yaani tena kwa Liver iliyokamilika....

Yaani wanatakiwa kututangaza tu sisi ni mabingwa wa EPL mapema kabisa.... Na UEFA...
 
Bado ligi ni changa katika soccer kuna dynamism nyingi sanaa paka tucheze robo ya ligi ndo tuweze kutabili vizuri, usishangae arsenal kumalizia kwenye top 4, mpila ni kitu cha ajabu unakua determined na mambo mengi ndani na nje ya uwaja tena kuna wachezaji wapya wa nje VAR ni hatari sana lazima na wenyewe wa kupende kwanza la sivyo ligi utaisikia tu kwa wenzako.
 
mashabiki wa chelsea bado munamsagia kunguni muamuzi anthony taylor (shabiki lia lia wa man utd)
1630328750989.png
 
Mechi ya Liverpool na Chelsea imenifanya nitafakari mambo mengi sn!

Chelsea iko ktk kiwango cha juu sn na wanazidi kuimarika kila siku ktk kila kitu!

Sasa na kwa namna walivyo serious na hali ya kupambana ilivyo juu namna hii, na walivyo zoea mbinu za kocha na mfumo wao na kuuishi na kuwa sehemu ya maisha yao. Naiona Chelsea hii msimu huu ikiwa bingwa wa EPL na UEFA. Na watamaliza ligi msimu huu wakiweka record kubwa na za hatari sn!

Hii timu si mchezo yaani inatisha sn na ni timu iliyo na mchanganyiko wa umri kuna vijana wadogo na umri wa kati. Kwahiyo ni timu ambayo ktk miaka mitatu ijayo itatupa raha sn....

Game ya Liverpool na Chelsea haikua rahisi kabisa km wengine wanavyoweza kufikiria. Kutoka An field na point moja huku tukiwa pungufu na hatuna Kante kwa dk 45 sio jambo rahisi ata kidogo.... Yaani tena kwa Liver iliyokamilika....

Yaani wanatakiwa kututangaza tu sisi ni mabingwa wa EPL mapema kabisa.... Na UEFA...
Mkuu kubeba uefa na EPL ni ngumu sana inatakiwa kuchague kombe moja tu la kubeba hasa uefa naona kuna option nyingi sana kuna supercup, club bingwa...hii EPL tujaribu msimu ujao
 
Kubeba UEFA na EPL ni rahisi sn kitu kikubwa tunatakiwa kuongoza ligi ya EPL mapema sn na kuwazidi points timu pinzani karibu 15 hapo biashara inakuwa imeisha ktk EPL inabaki ktk UEFA tu.

Na hiyo Consistency ya kushinda games ktk EPL yaani inatakiwa tuianze sasaivi mpk kufika mwezi wa kumi na moja huko sisi tuko juu hapo na tumewazidi points kibao tu alafu tunabakiza kz ktk UEFA tu....

Kwahiyo kubeba hizo ndoo mbili ni rahisi tu kwa timu ilivyo sasaivi!
 
Na ukizingatia tuna kikosi kipana
 
Chelsea had a complicated and tense day for Jules Koundé negotiations with Sevilla. Deal on the verge of collapsing many times but... today Chelsea will try again with final approach. Sevilla are so strong on their position. #CFC #DeadlineDay

Saúl deal now completely blocked.

Source @fabrizio
 
Club World Cup games. Ziyech and Mendy going to Afcon. Kante struggling to stay match fit. Jorginho being overused. Likely Pulisic injuries. All probably around the same time. Title challenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom