Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angalau na sisi the blues mchezaji wetu abebe golden boot

Sema rekodi ya Mchezaji mzito EPL inashikiliwa na Maguire ana kilo 100 na ana kichwa kikubwa sana kama Transforma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshamba kweli we!
Anakichwa kama nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Munapesa ya kumlipa?
Huyo anatimkia zake Marekani.
 
Hamjapigwa haswaa, mumepigwa miti.
 
Natabiri Lukaku atawafanya mbaya manure. tusibiri tuone
Hicho kiroba cha maharage hakiwezi kutudhuru.
Tuna beki imara (Maguire na Verane) hicho kiroba hakiwezi tamba.
 
Usimfananishe Drogba na hicho kiloba cha maharage.
 
Messi naye anafanya Medical Checkup leo au kesho katika jiji la Paris
Kashaaga Barcelona kwa machozi kupitia live press conference aliyofanya leo
 
Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
 
Acha maneno ya kibaguzi wewe..
@modarators pigeni ban huyu mtu..
Nilikuambia me usiende Doha, kule tende halua ndio zao, umeona sasa umekua laini!
Ubaguzi gani niliounesha au hujui kua Makaku (inaandikwa macaco) maana yake ni nyani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…