Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Romanio kasema Barcelona na Messi watayajenga tena wajue wanafanya vip
End of an era for Lionel Messi and FC Barcelona [emoji22]

4x Champions League [emoji471]
10x LaLiga [emoji471]
7x Copa Del Rey [emoji471]
3x FIFA Club World Cup [emoji471]
8x Supercopa De España [emoji471]
3x UEFA Supercup [emoji471]

17 seasons [emoji633]
778 appearances [emoji153]
672 goals [emoji460]️
305 assists [emoji2402]

The [emoji238] has left Camp Nou
 
Barcelona wadai Messi kaondoka kwa sababu ya matatizo ya kifedha, Barca wasingeweza kufikia madai ya mkataba mpya anayotaka Messi
Mkataba mpya ulikuwa unamlazimisha Messi akubali malipo pungufu kwa asilimia 50, Messi akakataa

The six-time Ballon d'Or winner has officially been a free agent since July 1 after he failed to agree terms over a renewal before his previous Barcelona contract expired on June 30.
However, the 34-year-old had been expected to sign a new five-year contract with the Catalan club, which would have seen his salary reduced by 50 per cent.

Chelsea hapo vipi.

Chelsea waache kumsajili Lukaku mara moja

Pesa za kumsajili Lukaku zinatosha kumlipa Messi mshahara aliokuwa analipwa Barca kwa miaka mitano
Fanyeni mahesabu ya haraka haraka hapo
Kwa chances tunazocreate messi anaweza kufunga magoli haya kwa mechi zote
2021/22 = magoli 45
2022/23 = magoli 40
2023/24 = magoli 40
2024/25 = magoli 35
2025/26 = magoli 30
Jumla ya magoli 190 kwa miaka mitano
 
POOR AGUERO, RAFIKI YAKE KAMUUZIA CHAKA KAKIMBIA

Sergio Aguero on the day he signed for Barcelona: “Messi convince me to come to Barcelona, it has always been my dream to play alongside Leo at a club level.” pic.twitter.com/4fed6uIi04

— Football Shithousery (@FootyRustling) August 5, 2021
 
Kuhusu LUKAKU

Baadhi ya mashabiki wenzetu wa chelseafc wanambeza lukaku eti kisa ana mwili mkubwa bila kuangalia Nini anafanya uwanjani.Nilichojua kuwa wengi wao hawamfahamu vizuri Lukaku, Sifa moja ya LUKAKU ni mchezaji mwenye kasi japo ana mwili mkubwa na magoal mengi kafunga wakati wa michuano ya uero na baadhi mechi za ligi ya italy kwa style hii hii.Ni finisher mzuri, anajua kuhold mpira, kutengeneza assist na kujiposition lakini ana nguvu na hii inaitajika Sana kwenye ligi ya Uingereza.

Lukaku ana uzoefu na ligi ya Uingereza na ameshaprove tayari, michuano ya uero Lukaku ameshika nafasi ya pili nyuma ya Ronaldo kwa kufunga magoal mengi utasemaje ni mbaya? Mbona Timo Werner Hana mwili mkubwa kwanini Hana hata robo ya statistics za magoal aliyonayo LUKAKU?

Msimu uliopita katika mechi alizocheza 36 kafunga goal 24 na akaassist 11 anakuaje mchezaji mbaya kwa hizi takwimu? au mnamaanisha lukaku sio huyu ninayemfahamu
lembu
ENZO
Mkohoti
Cash Money Forever
 
Mimi naona wengi waachuki binafsi ukiwaambia walete numbers wanakimbia
 
Mle hamna kitu, ni takataka tu. Halaand ama Toney ndio wakuleta.
Kuhusu LUKAKU

Baadhi ya mashabiki wenzetu wa chelseafc wanambeza lukaku eti kisa ana mwili mkubwa bila kuangalia Nini anafanya uwanjani.Nilichojua kuwa wengi wao hawamfahamu vizuri Lukaku, Sifa moja ya LUKAKU ni mchezaji mwenye kasi japo ana mwili mkubwa na magoal mengi kafunga wakati wa michuano ya uero na baadhi mechi za ligi ya italy kwa style hii hii.Ni finisher mzuri, anajua kuhold mpira, kutengeneza assist na kujiposition lakini ana nguvu na hii inaitajika Sana kwenye ligi ya Uingereza.

Lukaku ana uzoefu na ligi ya Uingereza na ameshaprove tayari, michuano ya uero Lukaku ameshika nafasi ya pili nyuma ya Ronaldo kwa kufunga magoal mengi utasemaje ni mbaya? Mbona Timo Werner Hana mwili mkubwa kwanini Hana hata robo ya statistics za magoal aliyonayo LUKAKU?

Msimu uliopita katika mechi alizocheza 36 kafunga goal 24 na akaassist 11 anakuaje mchezaji mbaya kwa hizi takwimu? au mnamaanisha lukaku sio huyu ninayemfahamu
lembu
ENZO
Mkohoti
Cash Money Forever
 
Sawa mchukueni huyo Lukaku.
uyo toney kafanya nn cha maana unavomsifu ivo chelsea kwa sasa anaitajika elite striker sio awa wa level za kina tammy ndo mana unaskia majina yanayoongelewa n ma3 haaland, lukaku, kane bas
 
Huo toney muondoe out of equation, mtu wa ligi ndogo kuja kumjadili hapa ni uhalifu mkubwa, tubaki na Haaland na Lukaku. Haaland ni mzuri kuliko Lukaku. Kumpata ndio kazi
 
Huo waonafanya ni upuuzi na hawaitakii mema team yetu, shida yetu inajulikana ni finisher sasa kwanini uanze kumchukia mchezaji ambaye Tuchel mwenyewe anamkubali
Hata kwa Abraham na barcley tulisema hivi hivi mkasema chuki binafsi, Hata kwa Lampard tulisema uwezo wake wa ukocha ni mdogo, watu wakapinga,Leo yapo wapi? ....... wale waliokua wanasema chuki binafsi sahivi wametuliaaa.
 
Kila kitu mnasema chuki binafsi kwahiyo nyie mnataka tu mawazo yako na yangu yawe sawa? Acheni ujinga
Huo waonafanya ni upuuzi na hawaitakii mema team yetu, shida yetu inajulikana ni finisher sasa kwanini uanze kumchukia mchezaji ambaye Tuchel mwenyewe anamkubali
 
Kuhusu LUKAKU

Baadhi ya mashabiki wenzetu wa chelseafc wanambeza lukaku eti kisa ana mwili mkubwa bila kuangalia Nini anafanya uwanjani.Nilichojua kuwa wengi wao hawamfahamu vizuri Lukaku, Sifa moja ya LUKAKU ni mchezaji mwenye kasi japo ana mwili mkubwa na magoal mengi kafunga wakati wa michuano ya uero na baadhi mechi za ligi ya italy kwa style hii hii.Ni finisher mzuri, anajua kuhold mpira, kutengeneza assist na kujiposition lakini ana nguvu na hii inaitajika Sana kwenye ligi ya Uingereza.

Lukaku ana uzoefu na ligi ya Uingereza na ameshaprove tayari, michuano ya uero Lukaku ameshika nafasi ya pili nyuma ya Ronaldo kwa kufunga magoal mengi utasemaje ni mbaya? Mbona Timo Werner Hana mwili mkubwa kwanini Hana hata robo ya statistics za magoal aliyonayo LUKAKU?

Msimu uliopita katika mechi alizocheza 36 kafunga goal 24 na akaassist 11 anakuaje mchezaji mbaya kwa hizi takwimu? au mnamaanisha lukaku sio huyu ninayemfahamu
lembu
ENZO
Mkohoti
Cash Money Forever
Mwenyewe nawashangaa Ila ndo mawazo Yao [emoji23]...na wajiandae kisaikolojia akitua

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom