Kepa anatuharibia cvAsiingie tu Kepa
Kuwapata hao unaowataka sasa ndio kaziMm narudia tena, usajili wa LUKAKU ni wa kipumbavu sana. Huyo jamaa bora abaki huko huko, yaani ni mara mia Lewandowski kuliko Lukaku.
Nasema tena kwa mfumo wa TT huyo jamaa atapotea sana mpaka mtabaki mnamshangaa, kwa mfumo wa TT Halaand ndio chaguo sahihi. Ata kama BVB wanataka million 300 tuwape tu, Halaand bado ni mdogo tutakaa nae kwenye klabu zaidi ya miaka kumi.
Mara ya kwanza nasikia tumeamia kwa Lukaku baada ya kumkosa Halaand niliumia sana, mpira ni kipaji sio majina makubwa. Aisee bora tungemsajili Ivan Toney aje kusaidiana na Broja.
Kuwapata hao unaowataka sasa ndio kazi
Bayern wamegoma, Spurs wamegoam, BVB wamegoma
Baada ya nusu msimu mutamkataa wenyewe.Huyu huyu , leo hii ukitaja namba 9 bora kwa sasa lukaku utamuhesab katika top 5
Tuombe uzima tu ndio jmbo la muhimu tushuhudie
Fan wa pili Chelsea Mwenye akili timamu humu jf ukiachana na Myahudi Jr IIMm narudia tena, usajili wa LUKAKU ni wa kipumbavu sana. Huyo jamaa bora abaki huko huko, yaani ni mara mia Lewandowski kuliko Lukaku.
Nasema tena kwa mfumo wa TT huyo jamaa atapotea sana mpaka mtabaki mnamshangaa, kwa mfumo wa TT Halaand ndio chaguo sahihi. Ata kama BVB wanataka million 300 tuwape tu, Halaand bado ni mdogo tutakaa nae kwenye klabu zaidi ya miaka kumi.
Mara ya kwanza nasikia tumeamia kwa Lukaku baada ya kumkosa Halaand niliumia sana, mpira ni kipaji sio majina makubwa. Aisee bora tungemsajili Ivan Toney aje kusaidiana na Broja.
Mkuu chukueni tu zigo lileBaada ya nusu msimu mutamkataa wenyewe.
Kile ni kiroba cha kilo mia, hakina issue.
Usidanganyike na pale alipo (inta Milan).
Kwa Arsenal hii ya Ukonga na kokoko, sitegemei hilo.Arteta anamaliza juu ya Chelsea this season, na Emirates mnakufa nyingi tu
Lukaku yupo daraji anachukua vipimo hukoKwa Arsenal hii ya Ukonga na kokoko, sitegemei hilo.
Mwache achukue, hainihusu.Lukaku yupo daraji anachukua vipimo huko
Ikibidi mufungwe tu.Matakataka yaliyoingia kipindi cha pili yameshindwa kuzuia kufungwa kabisa au kuongeza goli
- Ampadu
- Bakayoko
- Tino
- Zapacosta
- Kenedy
- Tammy
Ndoto z AlinachaArteta anamaliza juu ya Chelsea this season, na Emirates mnakufa nyingi tu