Kila kocha ana vitu fulani vilivyojificha anaangalia kwa mchezaji hata kama kiwango chake kikiwa chini huwa anamng'ang'ania ila akivikosa hivyo vitu visivyoendana na mfumo wake huwa anamuweka nja ya plan yake. Ziyech ni mchezaji mzuri sana ila hayuko offensive na agressive sanaZiyech alianza vizuri chini ya Lampard..
Kama unakumbuka alipoga krosi flani matata sana chilwell akapiga goli..
Kilichomshusha kidogo ni majeruhi aliyopata, pia kariba ya washambuliaji wetu. Jamaa hua anawapa pasi za upendo sana, umaliziaji ndo shida..
Kwa TT pia hajafeli kama tunavyoaminishwa,, angalia gemu alizocheza kwa TT kaperform vizuri kabisa.
Itakua chelsea hawamtaki kwa sasa kwasababu ya wingi wa viungo na mawinga..
Competition imekua kubwa sana sehemu izo mbili
Umeongea vizuri Ziyech ni mchezaji mzur akiwa na mpira ila pindi timu inapokua haina mpira yy huwa anazurura zurura tu uwanjani.Kila kocha ana vitu fulani vilivyojificha anaangalia kwa mchezaji hata kama kiwango chake kikiwa chini huwa anamng'ang'ania ila akivikosa hivyo vitu visivyoendana na mfumo wake huwa anamuweka nja ya plan yake. Ziyech ni mchezaji mzuri sana ila hayuko offensive na agressive sana
Pia kocha mojawapo ya vitu anaangalia ni jinsi gani mchezaji anaweka kwenye vitendo falsafa yake ya uchezaji
Mfano hata kama hapewi muda wa kutosha hata kama kwa wakati fulani TT alikasirishana naye, Odoi ni mfano wa wachezaji ambao TT anawategemea sana kwa baadaye na ndio maana hata ile ofa ya Bayern Munich Odoi kaitolea nje, kasema anataka kubaki darajani kupigania nafasi chini ya TT
Hakimi na Hakim wako rigid sana kwenye flexibility na hawataendana na style ya TT na ndio maana hata Hakimi hana hamu ya kuja Chelsea
Binafsi Bora nimuuze Kai kuliko Ziyech, Ziyech ni mtu na nusu sisi tunalalamika ooh hatuna kiungo mbunifu kama fabregas wakati tunae Ziyech sema anaangushwa na striker butu tulionao pale mbele, Si kila mchezaji lazima awe mkabaji yule anatakiwa apewe free role na chelseafc wasajili striker wa maanaKila kocha ana vitu fulani vilivyojificha anaangalia kwa mchezaji hata kama kiwango chake kikiwa chini huwa anamng'ang'ania ila akivikosa hivyo vitu visivyoendana na mfumo wake huwa anamuweka nja ya plan yake. Ziyech ni mchezaji mzuri sana ila hayuko offensive na agressive sana
Pia kocha mojawapo ya vitu anaangalia ni jinsi gani mchezaji anaweka kwenye vitendo falsafa yake ya uchezaji
Mfano hata kama hapewi muda wa kutosha hata kama kwa wakati fulani TT alikasirishana naye, Odoi ni mfano wa wachezaji ambao TT anawategemea sana kwa baadaye na ndio maana hata ile ofa ya Bayern Munich Odoi kaitolea nje, kasema anataka kubaki darajani kupigania nafasi chini ya TT
Hakimi na Hakim wako rigid sana kwenye flexibility na hawataendana na style ya TT na ndio maana hata Hakimi hana hamu ya kuja Chelsea
Tueleze tu kuwa unataniaBinafsi Bora nimuuze Kai kuliko Ziyech, Ziyech ni mtu na nusu sisi tunalalamika ooh hatuna kiungo mbunifu kama fabregas wakati tunae Ziyech sema anaangushwa na striker butu tulionao pale mbele, Si kila mchezaji lazima awe mkabaji yule anatakiwa apewe free role na chelseafc wasajili striker wa maana
Ingekuwa umri una matter hivi kwanini mpaka sasa bayern munich wamemkumbatia Lewandoski? au kwanini A.Madrid walimsajili Suarez badala ya kutafuta striker kijana?Tueleze tu kuwa unatania
Mchezaji talented na ana miaka 22 tu auzwe tumbakize mchezaji wa miaka 28? Ningekuelewa ungesema wote wabaki
Usimlinganishe tafadhali Lewandoski na ZiyechIngekuwa umri una matter hivi kwanini mpaka sasa bayern munich wamemkumbatia Lewandoski? au kwanini A.Madrid walimsajili Suarez badala ya kutafuta striker kijana?
Kwa ratiba hiyo, sahauni kuhusu nafasi ya 4.Fixture ya msimu ujao View attachment 1820247View attachment 1820248View attachment 1820251View attachment 1820249View attachment 1820250
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app