Havertz sio natural striker ni kama werner. Natural strikers ni Giroud na Tammy AbrahamTuvuteni picha Lukaku ndio huyo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-----Werner- Lukaku- Mount--------
Chilwell- Joginho - Kante- James
------Rudger - Thiago - Azipu -----
Dah Harvetz ni bora kuliko Lukaku. Lile goli Kai alilofunga UCL angekuwa Lukaku pale angembabua kipa usoni.
Ktk Tactics unaweza kueleza mpk ukachoka... Itoshe kusema tu kuwa TT ni fundi mno kuliko Pep.TT TACTICAL ANALYSIS VS CITY
- Kuzuia mashambulizi ya pembeni ambayo city au PEP anapenda kutumia kwa kuwatumia RB na LB na mawinga katika kushambulia. Chilwell kambana sana Mahrez na Walker wasipandishe mipira kabisa. James kawazuia Stearling na Zinchenko wasipandepia
- Kante aliandaliwa kwa ajili ya clearance na recoveries za uwanja mzima kama alivyofanya dhidi ya ya RM
- Werner katumiwa kuisumbua na kuipasua defenve ili kutoa space kule mbele na goli la Havertz ni matokeo ya huo mpango. Mount alipopata mpira mabeki wa city hasa Dias akili yao walielekeza kwa Werner wakamuachia Havertz linafasi kubwa katikati. Udhibitisho wa huo mpango, Werner alikuwa akicheza pembeni zaidi yaani kulia na kishoto na kila anayepata mpira walikuwa wakimtafuta zaidi Werner
- Mabeki wao kazi yao kubwa ilikuwa kufanya clearance na walifanikiwa sana akina Azpi, Silva baadaye Christensen na Rudiger. Kwa kazi nzuri ile kipa Mendy hakuwa na kazi kubwa juzi ya kufanya isipokuwa lile jaribia bubu alilotaka kufanya Aguero la kumpasia Jesu mpira wa juu kumpita Mendy
View attachment 1804377
Tungekuwa England [emoji636] wangeenda VARView attachment 1803220
Sema huyu refa nilimpenda sana alivochezesha mechi ...marefa wana mengi ya kujifunza kwa huyu mwamba
Adama traole wa nini kibonge yule mbio mingi hana jipyaTT anawataka hawa hapa
Pia Harry Kane na Robert Lewandowski wako kwenye target ya Chelsea sambamba na Lukaku
- Adama Traore
- Declan Rice
- Lukaku
Hata kwetu pia aliferiTammy huyo NI out of favour tiyari kwenye kikosi cha tuchel...msimu ujao huenda akaenda crystal palace au westham ....Lukaku wa misimu miwili iliyopita inter alikuwa ana kasheshe sana ana takwimu nzuri Sana za ufungaji na assist Labda utueleze unavyoona kwann asije Lukaku au kisa alifeli man u?
Haland muache akaferi atarudi tuKtk kujenga timu pana usiseme Declan Rice atakuja kuchukua nafasi ya nani. Sisi sio Arsenal au Westham. Tunahitaji kujenga timu ya kushindana na Man City. Timu ambayo timu A au B inaweza kubeba makombe makubwa, Pesa ipo kwa hiyo wewe relax tu!
Lukaku ni mfungaji clinical na kwa kutumia nguvu zake analazimisha kufunga
Adama ni wingback mzuri ambaye atafanya pair nzuri sana na Reece James
Tukiwakosa akina Robert au Kane tumchukue Lukaku
Haaland achane nae yeye anataka timu kubwa, kashasema Chelsea ni timu ndogo
Anataka kwenda Man U, RM, Barca nk
KweliTuvuteni picha Lukaku ndio huyo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-----Werner- Lukaku- Mount--------
Chilwell- Joginho - Kante- James
------Rudger - Thiago - Azipu -----
Dah Harvetz ni bora kuliko Lukaku. Lile goli Kai alilofunga UCL angekuwa Lukaku pale angembabua kipa usoni.
Kuanzia aje tuchel, christeansen kaimprove sana, kuna kipindi silva alikosekana ila christeansen aliziba pengo lake vizuri tu
Nimeshavote, wengine tufanye hivyo.Jamani nendeni mkampigie kura za ndiyo kijana wetu
Premier League Player of the Month – POTM – EA Official
Vote for your player of the month and see previous Premier League POTM winnersplpots.easports.com You can vote for Mason Mount to be named EA Sports Premier League Player of the Season after he was named on the eight-man shortlist.
The Chelsea Academy graduate is the youngest person to be nominated for the English top-flight’s highest individual honour in 2020/21 after a fine campaign, which was only his second in the Premier League, and ended with him lifting the Champions League trophy.
The 22-year-old made more league appearances for Chelsea than any other player this season, missing just two games in that competition throughout the campaign, and was involved in 11 Premier League goals, scoring six and setting up another five for his team-mates.
The winner of the Premier League Player of the Season award is decided by a public poll and you can cast your vote here until 6pm on Thursday 3 June, with the winner then being announced two days later.
View attachment 1805361
Kwahiyo Kai Havertz ana nguvu sio? Umeandika ugoroKtk Tactics unaweza kueleza mpk ukachoka... Itoshe kusema tu kuwa TT ni fundi mno kuliko Pep.
Ukianza kuchambua tactics ktk kila fields yaani hadi unapata raha.
Kwa mfano kuanzishwa Mbele kwa Timo na Kai. Huku kuliifanya safu ya ulinzi ya City kupata shida sn.
Maana TT alihitaji mtu mwenye kimo kirefu na nguvu na ndio sbbu akamtupia Kai. Yaani ata lile goli Kai alipewa pasi na Mount Zichenko alibaki ananing'inia miguuni tu mwa Kai.
Yaani ktk hao wawili tu huko mbele waliwasumbua sn City.
Kitu kimoja Chelsea walichofanya ktk kukaba muda wote walikuwa 5+2+3..
Bado Niko na vibe la ushindi nitakuja kuelezea namna Tactics zilivyofanya kz.
We ndio umeandika ugoro, basi ww ndio mwenye nguvu, umefurahi.Kwahiyo Kai Havertz ana nguvu sio? Umeandika ugoro
Huyo Azpilicueta na Silva wameshaenda sana kiumri, ni vyema management iwekeze beki wengine kusajili ili kuimarisha kikosi zaidi na kuwapumzisha hao wawili.Hivi tukimsajili STRIKER, Kai atacheza nafasi gani uwanjani?
Au itamlazimu TT kubadili mfumo kutoka 343 kwenda 4- 2 -3 -1? Au 4-2-1-3?
---------------- STRIKER------------------
Werner --------- Kai -------- Mount
------------ Joginho - Kante ---------
Chilwell - Rudger - Silva - Azipu
4-2-1-3
Werner----- STRIKER-----Mount
--------------------- Kai -------------------
------------ Joginho - Kante ---------
Chilwell - Rudger - Silva - Azipu
Source kutoka Chelsea wamesema wanampango wa kusajiri wachezaji watatu defender mmoja, Central midfielder pamoja na strikerHuyo Azpilicueta na Silva wameshaenda sana kiumri, ni vyema management iwekeze beki wengine kusajili ili kuimarisha kikosi zaidi na kuwapumzisha hao wawili.
Hazard akirudishwa itabidi tutoe winger mmoja either Kwa kuuza au mkopoHapo safi.
Thiago Silva sio wa kudumu ni vizuri kumtafutia mbadala wake wa kusaidiana na Christensen.
Akipatikana kiungo fundi mchezeshaji aina ya Fabrigas itapendeza.
Striker no question anahitajika haraka.
BONUS - hazard arudishwe kwa mkopo anaweza kukiwasha tena, atakuwa msaada.
Odoi..!!! Hapana tutajuta baadaeOdoi [emoji117] MKOPO