Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba kuelimishwa vigezo vya kupewa hiyo Ballon D'or
Kushinda mataji hasa makubwa km WC, Euro, au Uefa huku wewe ukiwa ndiyo main source ya hayo mataji kwa kufunga goli nyingi au kuwa engine ya ushindi, ila kwa sasa yanaangaliwa zaidi magoli japo zamani haikuwa ishu sn, walikuwa wanaangilia zaidi mchango na ufundi wa mchezaji, cku hz imekuwa kisiasa zaidi.
 
Kama ni hivyo kijana hawezi kupewa, Modric ilikuwa bahati yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…