2012 Terry alikuwa nje ya squadFainali zote za uefa tulikuwa na wachezaji tegemezi karibia kila sekta na zote tulifanya vizuri
Goalkeeper Peter Cech
Beki John Terry
Kiungo super Frank
Forward Drogba
Leo mchezaji tegemezi ni ngolo kante pekee. Hao waliobaki labda muujiza utokee. Tena wakifanya ujinga kama ile gemu ya Leicester tutapigwa hata goli tano.
De bruyne ni mwiba,kwakweli leo nimejiandaa kupokea kipigo heavy
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
PEP kashasema kinachomsumbua anapokutana na Chelsea ni mfumo wanaotumia wa wingbacks na kasi ya Werner inawafanya wajikute wameacha space kubwa kwa wachezaji wengine wa chelsea kushambulia. Kasema alipohojiwa kwenye press conference kuwa kila wakati wachezaji wake inabidi warudi nyuma kujilinda na kumuangalia sana wernerWaungwana mfahamu kuwa Mchezo wa leo ni fainali sio ligi na mchezo unachezwa mara moja tu kwa dakika tisini. Timu zote mbili Chelsea na Man City, wachezaji wote wa timu mbili yaani wachezaji wa Chelsea na Man City na makocha wote wawili Pep na TT wote hili kombe wanalihitaji sana. Niwambie tu timu zote mbili leo zitacheza kwa nidhamu kubwa mno, pia tusitalajie mchezo mzuri bali tutalajie mchezo mgumu sana. Timu zote mbili naona zikiingia kwa mfumo wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Pep tayari ana onyo kutoka kwa TT hivyo hawezi kuja kijinga jinga tu, akija kijinga jinga tena atapokea za uso. TT nae anaelewa uzuri wa Man City na madhaifu ya safu yake ya ushambuliaji hivyo lazima leo atabadilika tu.
Mshindi wa leo atatokana na mbinu tu, na si ubora wa wachezaji. Mchezo wa leo ndio mtajua umuhimu wa kocha ama mwalimu katika mpira. Leo msitishwe na majina ya wachezaji kama KDB, Mahrez, Foden, Gundogan, Dias, Rudiger, Kante, Mount, Pulisic na wengineo wote. Hao wote na wengineo leo mtawakataa na kusema ndio hawa kweli, naam watakuwa wao na wala si wengine. Leo ni vita ya mbinu tu, leo ni ugomvi baina ya TT na Pep hao wachezaji wataingia uwanjani wakiwa kama wajumbe wa kufikisha hizo mbinu za walimu wao.
Msitarajie mechi kuanza kwa kasi, mechi itaanza kwa kila kocha kumsoma mwenzake yuko vipi ama amekuja vipi. Na kipindi cha kwanza kinaweza malizika kwa suluhu ya bila kufungana, kipindi cha pili kitabadilika kidogo tofauti na kipindi cha kwanza. Kama nilivyo sema huko juu leo timu zote mbili zitacheza kwa kujilinda sana, mchezo utabadilika baada ya timu moja kupata angalau goli moja.
Kwa uchache hayo ndio naona leo yakienda kutokea, karibu kwa masahihisho.
Sawa. Siku hizi tunachukua pia au hatujachukua?We unaongelea tulitufunga wakat kocha alikua ni yule ndugu yake na Arteta, Lampard. Sahv usifananishe hii timu na utopolo ule w Lampard timu yoyote ilikuaga inajichukulia tu point kwetu kirahisi.
Hahaha sawa broCity akifunguka anakufa nakuonya mapema. No matter what tunacheza formation gani? hata kama ni 1111 mpaka mwisho.
sawa endelea kutesekaNipo hapa kwa Shangazii
Lakini huyohuyo ndugu yake na Lampard (Arteta),kachukua point zake 3 kilaini tu tena mkiwa na huyo kocha wenu mtaalamu. LEICESTER kajipigia mara mbili na hata top four mmeingia kwa hisani ya Tottenham, au unasema team ipi?We unaongelea tulitufunga wakat kocha alikua ni yule ndugu yake na Arteta, Lampard. Sahv usifananishe hii timu na utopolo ule w Lampard timu yoyote ilikuaga inajichukulia tu point kwetu kirahisi.
TawireEeeh Mungu wa Isaka, Ibrahim na Yakobo tunakuja mbele kwa unyenyekevu tunaliweka chama letu THE BLUES mikononi mwako bwana.
Wachezaji tunawaweka mikononi mwako bwana, kama jemedari wa vita ukawaongoze kushinda hii vita iliyoko mbele yetu dhidi ya CITY, wakapambane kwa akili na moyo mwisho wa filimbi tukabebe hili kombe na kuandika historia nyingine katika ulimwengu wa mpira.
THE BLUES in GOD WE TRUST.
Amen
Tukutane baada ya mechi.View attachment 1801274
Kama kachukua point 3 Kwa chelsea kashindwa nn kuchukua point 6 mbele ya Burnley[emoji23]....ndo maana tunasema Ndugu yake na lampard[emoji16]Lakini huyohuyo ndugu yake na Lampard (Arteta),kachukua point zake 3 kilaini tu tena mkiwa na huyo kocha wenu mtaalamu. LEICESTER kajipigia mara mbili na hata top four mmeingia kwa hisani ya Tottenham, au unasema team ipi?
Ziyech asianze aingie subGame ya leo Havertz asicheze kabisa
Mpura KANTE kashika UEFA lini chelsea mmejaa wauza ugoroHakika leo man city atapigiwa mpura mwingi Sana na kumbua AGUERO bado hajabeba taji la UEFA anazindia na KANTE ambae yeye ameshika kombe la UEFA
Una bangi wewe mchezaji mmoja mmoja chelsea imzidi man City umeishia form ngapi?Mkuu angalia mchezo mitatu walizokutana Kati ya man city na chalsea man city kashinda Mara moja chalsea kashinda Mara mbili najua hapo utaenderea kuona tofauti kwa timu mbili zilizoingia fainally kwer nzote ni mbola ila ludi kuchambuachezaji mmoja mmoja bado tuuu Chelsea utawapatia nafasi ya kusonga mbele zaidi ya kuchukua kikombe Cha reo
Mbappe ambaye hakupiga shuti firt match kweli chelsea mnamidomo kama man UnitedMan city sijui atacheza mbinu gani leo. maana akifunguka anakufa kama madrid.
Akipaki basi sina imani kama atatoboa sababu hana watu wa kupaki basi. Ile match ya pili na psg alipaki basi ila pochetino akawa mdwanzi. We mbappe anaanziaje benchi match kama ile?
Ameni 👏👏Eeeh Mungu wa Isaka, Ibrahim na Yakobo tunakuja mbele kwa unyenyekevu tunaliweka chama letu THE BLUES mikononi mwako bwana.
Wachezaji tunawaweka mikononi mwako bwana, kama jemedari wa vita ukawaongoze kushinda hii vita iliyoko mbele yetu dhidi ya CITY, wakapambane kwa akili na moyo mwisho wa filimbi tukabebe hili kombe na kuandika historia nyingine katika ulimwengu wa mpira.
THE BLUES in GOD WE TRUST.
Amen
Tukutane baada ya mechi.View attachment 1801274
Upo kama mimi aiseeSikufungua huu uzi kosoma au kuchangia chchote tangia tufungwe Fainal ya FA!
Napenda kuwatakia Heri njema sana Mashabiki wenzangu wa Chelsea katika Final nyingine ya Leo UCL
Sijui kwann Moyoni nina Amani sana tena sana Na Final hii ya Leo, sijawa na hofu kbsa.
Tuipende timu yetuu