Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

SkySports Germany wamedai Chelsea wameshamuona Robert Lewandowski kule Ujerumani katika harakati za kumleta darajani
​
 
Alichofanya Daniel Amartey na kuwaudhi Chelsea na wao wakajibu kwa kuwafunga 2-1 hii hapa
 
Atakayepinga Mount kuwa Player of the Year ni MWEHU Tu!
Anastahili 100% Mount mi mwenyewe namuelewa sana, anajituma kuanzia uchezaji mpk kwenye kusuffer kuutafuta mpira, pressing yake naielewa sana. Japo nimeona kwnye mitandao baadhi y mashabiki wanalalamika angepewa Ngolo au Kova.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…