Jana nilikuwa naomba Mungu tuu Kante awe kwenye ubora wake kwa sababu Kroos na Modric walipania sana game, majamaa wamejuta kukutana na binadamu mwenye mapafu ya farasi [emoji23]
Daah...! Mkulungwa mi ni mshabiki halisi kabisa wa timu ya Chelsea.Mpe ndoo ya mama yako abebe sasa
Sevilla alifungwa 4-0
Pulisic anamsubiri dogo Mount..... Ha ha ha ha Thibaut kalala miguu chaliView attachment 1775006
Psg ni team imejaa masuperstar ambao kuna mda kufata maagizo ya kocha huwa hawafatiSidhani.
Sijui kwanini hamtaki kurefer kipindi chake na PSG
Hazard wa madrid sio yule aliyekuwa chelsea na hiyo yote ni kutokana na majeruhiKatika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Giroud hana uwezo wa kutengeneza nafasi za kufunga. Na hata kwenye nafasi 10 anafunga mbili. Ndiyo maana mzee Wenger alikuwa anambench kila wakatiMatch ya Chelsea Jana ni watu wanne walioipa ushindi
Silva, Rudiger, Kante na Kai
Kwa sasa chelsea wanakosa Finisher yule Timo ni kiungo zaidi kuliko mshambuliaji Jana angeanza giroud habari ingekuwa nyingine au chelsea wangekuwa na Aguero mechi ingeisha mapema tu
Katika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Kwani ni lini chelsea ilikua haikabi?
Kusema kwamba Thom kaifundisha chelsea kukaba?
Mko na Lampard mnapress, mna speed, mna pasi za kwenda mbele, cross za Reece, squad depth pana.
You had everything isipokua magoli.
Now Thom kaja robo msimu kafungwa 5 na westbrom. Westbrom in 2021 kamfunga chelsea 5, mbinu ziko wapi hapo? Next season mtaanza na moto kisha utapoa, kama Spurs.
Jose kaichukua timu njiani akaonyesha matumaini next season akaanza kwa moto akapoa kafukuzwa.
Sawa mkuuu nimekutaka radhi mkulungwaDaah...! Mkulungwa mi ni mshabiki halisi kabisa wa timu ya Chelsea.
Nilimnukuu huyo Jamaa jana nikitaka ajione alivyoaibika baada ya ushindi wa mechi ya jana dhidi ya Real Madrid.
Umenikosea heshima uliponitukana mimi.
Unajifanya haujui au siyo?Kwann mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanilisha maneno.Naona unaongea kishabiki zaidi kuliko kimpira
Wakati wa lamps chelsea ilikuwa inaruhus magoal kiasi gani,
Kufungwa 5 sio sababu useme kocha hana mbinu,
Sir Alex Ferguson alifungwa 6, guardiola alifungwa 5 msimu huu utasema alikuwa hana mbinu, kufungwa katika mpira huwa kupo tu hata uwe na mbinu kiasi gani kuna mechi utafungwa tu, na mtu akifungwa sio hana mbinu kuna siku unakuta kila unachokifanya kinaenda ndivyo sivyo ila isiwe sababu ya kusema huyu kocha hafai,
Na ni chance ngapi walizokosa????Hawa watu walifika fainali ucl huku Mbape na Neymar majeruhi.
Jamaa unamkumbia Petr Cech kule Baku nini
Saivi zile kelele sijui tulipigwa naona zishaanza kupoteaWerner anatumia nguvu kubwa kupata matokeo lakini Kai Havertz anatumia nguvu kidogo sana kupata matokeo, kwa mfano goli la jana la Werner Kai kadonoa mpira kidogo tu kama hataki vile na ikaleta madhara kwa RM
Jamani weka like hapa kama uliliona shuti la jana la Rudiger hadi Courtois kidogo atapike nyongo
Daah...! Mkulungwa mi ni mshabiki halisi kabisa wa timu ya Chelsea.
Nilimnukuu huyo Jamaa jana nikitaka ajione alivyoaibika baada ya ushindi wa mechi ya jana dhidi ya Real Madrid.
Umenikosea heshima uliponitukana mimi.
Je huko alipotoka historia yake ikoje? tuanzie hapoUnanilisha maneno.
Sijasema hafai.
Ila nasema mnamuwazia makubwa bila kujali historia yake alipotokea
Unajifanya haujui au siyo?
Hapana mzee game inaanza mwanzo mwisho ni 3 5 2
Kwa hiyo Jana madrid wasingempanga Curtois.Katika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.