Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
Subiri kwanza uone mpira. Sisi kuita watu mbwa sio jadi yetu. Ika kuwafunga Watu kama ManCity na Madrid ndio furaha yetu.Nyie mbwa ,ni bora kesho mtoke mapema ,tukikutana mtajuta kuingia uwanjan ...
Nadhan mmeona nini tulichowafanya wale mabishoo PSG
![]()


