We acha tu mkuu yalisemwa mengi oh eti wale wazee mara oh eti chelsea haijawahi kuchukua kombe sasa yako wapi?
Bantugbro kumbe nawewe ni Mchelsea??!! Aiseee big up sanaaaaaaaaaaa!! What a win!!!We are the Champs of Europe....😛oa:biggrin:
unajua hili jukwaa la michezo. Sema timu yako imekula mavi
asanteni ! ! !
Sami Kufour anaomboleza katika studio za Supersport!!
Amekumbuka 1999!!
macho mekunduuu, sijui kakumbushia tene machozi?
Ahsante dada....nilikuwa kama kuku anayetaka kutaga....
Unakunywa kinywaji gani wewe? Au bado unadozi ya Kloro!!
Babu DC!!
Huyu jamaa alianzisha hii thread tangu jana saa 8 mchana kwa mbwembwe nyingi, tunaofahamu soka ni nini tulimuelimisha kwamba Soccer is unpredictable Game, na haya ndiyo majibu niliyoambulia kutoka kwake, lakini hatimaye ni yeye mwenyewe sasa ameikimbia hii thread yake ambayo aliianzisha tangu mchana kwa mbwembwe nyingi.Huna lolote unalojuwa.
Ni bora tu uende jukwaa la chit chat kule kuna wenzio.
unawafananisha Chelsea na Man UTD we kweli zimo kichwani?