Swali zuri anashinda kujua kwa sasa asilimia kubwa ya maforward wanaofanya vizuri ni wale agedKwa mfano Zile nafasi za magoli ya wazi anazokosa Werner, Lukaku angezikosa?
Damu changa unayozungumzia ni Haaland ambaye ametuchomolea nje, damu changa ipi nyingine yenye caliber ya Haaland?
Ndg, tena wewe ndio wa kwanza kutoa list ya matakata ya kuuza wasipofanya vizuri hata kwenye mechi 1 au 2 tu. Na huyu Lukaku baada ya mechi mbili utamuweka kwenye orodha ya matakataka nakuambia. Sina maana Lukaku sio mchezaji mzuri, ila hataweza kufikia matarajio ya Chelsea ya kutwaa vikombe vikubwaKwa mfano Zile nafasi za magoli ya wazi anazokosa Werner, Lukaku angezikosa?
Damu changa unayozungumzia ni Haaland ambaye ametuchomolea nje, damu changa ipi nyingine yenye caliber ya Haaland?
Mkuu naomba usinielewe vibaya, sina maana wewe uliyeleta ndio una makosa, ila tunaelimishana tu.Ndio maana zikaitwa TETESI, kunogesha viushabiki, vihabari, vimijadala, vianalysis, viudambudambu flani kwenye tasnia ya mpira.
Wanaotengeneza hizi TETESI wanafahamu zitauzika, zitasomwa kwa mashabiki aina flani flani wa soka duniani.
Hata mimi ninavyopost hapa kutoka kwenye page ya BBC, lengo ni kuchangamsha jukwaa. Ningeamua kuzipuuza hata wewe usingepata point ya kutoa hiyo comment kuendelea kuchangamsha jukwaa.
Akili za kuambiwa, changanya na zako.
Kakosa goal la wazi Dah?Timo Werner akihamia Leicester City atafanya vizuri. Kuna wachambuzi walimchambua na kudai kwa nini Bayern Munich walimkataa, simply wanadai Werner ni System player ambaye alifaa tu kwenye system ile ya Lepzig ambapo kule alipewa space (nafasi ya kutosha) kwenye compact player style ya Bayern, Chelsea, Liverpoool, Mancity hafai ila kwenye counter attck footbal inayotyoa nafasi kwa mcheza kama ya Leicester city au Man united atafaa sana. Hata Joacim Low kocha wa Timu ya Ujerumani alimuweka benchi jana kwa madai kama hayo hayo. Kwa hiyo mimi naafiki Werner auzwe ili tumnunue mshambuliaji anayeweza kucheza kwenye compact system of play kama ya Chelsea
Kuna haja sasa ya kusajili striker anayecheza EPL mwenye uzoefu tayari wa ligi.
Aguero - free transfer
Harry Kane
Lukaku - ex EPL player
Dominic Calvert
Werner amekuwa na wakati mbaya akiungana na Pulisic, Giroud na Tammy. Hii huwa inatolea ila huwa sio tatizo la kudumu. Kocha aendelee kuwanoa aonavyo na asiwakatishe tamaa.Chelsea haven’t scored a goal in the league under Tuchel when Werner doesn’t start. (3 Matches)
Moments Under Tuchel:
- Pen Won vs Spurs (1-0 W)
- Assist & Pen Won vs Sheffield Utd (2-1 W)
- Goal vs Newcastle (2-0 W)
- Performance Against Liverpool?
- Assist vs Atletico (2-0 W)
Sasa hivi bora ucheze na Man city kuliko Gunners, yaani tukija hapo Bridge round hii mtalia km umbwaaaaDah Man city tena, mbona mtihani huu
Sasa hivi bora ucheze na Man city kuliko Gunners, yaani tukija hapo Bridge round hii mtalia km umbwaaaa
Ameenda kwa ajili ya mazungumzo na klabu mbili za Barcelona kwanza na baadaye Real Madrid.Na corona hii Ina maana barca wanao mpunga wa kutosha kumsajili huyu jamaa au dogo analeta mapenzi ya timu?
Nimeamini wachezaji wengi wazuri ndoto zao ni kuchezea Madrid na Barca.
The BLUES na pesa zetu hazifanyi kazi kwa huyu dogo.
View attachment 1740527