OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Hizi timu ndogo ndogo hizi zinakuwaga mtihani kweli kuzifunga. Mfano hawa Westbrom, crystal palace ..mimi naona Tuchel akaze zaid kwenye FA na hata UEFA ikiwezekana abebe moja huku kwenye ligi tukomae tu kubaki top four.[emoji1001] Chelsea’s next fixtures:
Chelsea vs Sheffield Utd (21/03)
Chelsea vs West Brom (03/04)
Porto vs Chelsea 1st leg (06/04)
Crystal Palace vs Chelsea (10/04)
Chelsea vs Porto 2nd leg (13/04)
Chelsea vs Brighton (17/04)
West Ham vs Chelsea (24/04)
Those two Champions League games slot in absolutely perfectly.
Kumbe ndo maana hatupigi kelele za ulinzi tuko salama😃
Bila kukaza huko kwa hizo team ndogo hatuwezi ingia top four. Kote ni muhimu cha msingi wchezaji wsipoteze focus hii consistency inaweza potea halafu tukaanza tafutana nani mchawiHizi timu ndogo ndogo hizi zinakuwaga mtihani kweli kuzifunga. Mfano hawa Westbrom, crystal palace ..mimi naona Tuchel akaze zaid kwenye FA na hata UEFA ikiwezekana abebe moja huku kwenye ligi tukomae tu kubaki top four.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Habari kama hizi vile vitoto vya Arsenal havipendi kuzisikia. Vinaumia mioyo yaoMilio imeanza kusikika sn huko Ulaya.... Kocha Munich amesema wazi wazi kua Chelsea wanaweza kubeba kombe la UEFA.... Wameanza sasa kutuogopa...
Na ma pundits wengi wa soka uko ulaya wameanza kubadilisha milio...
Mwanzo walikua wanasema Tuchel akikutana na Spurs na Mourinho itakua mtihani mkubwa kwake na kipimo kikubwa sn kwa Tuchel na Chelsea... Kakutana nae na akampiga.
Wakaja tena, Man Utd, Liver Mara ratiba mgumu na Mara ATM ni timu ngumu lkn kote amevuka....
Sasa ma pundits wanasema Thomas Tuchel He is there to win the game....
Jamani ngoma imeshavuma sn mpk saizi wameanza kutuogopa maana record za Clean Sheet, unbeaten na magoli 2 ya kufungwa ktk game 13.. Wastani wa ball possession vinawatisha sn watu sasa.
Ndoo maana Tuchel alisema wazi kua hakuna timu inataka kukutana na sisi.... Na huo ndio ukweli
Gari limekorea na sasa ninaporomoka ktk mteremko yoyote akikaa mbele linamsaga tu
WataisomaMilio imeanza kusikika sn huko Ulaya.... Kocha Munich amesema wazi wazi kua Chelsea wanaweza kubeba kombe la UEFA.... Wameanza sasa kutuogopa...
Na ma pundits wengi wa soka uko ulaya wameanza kubadilisha milio...
Mwanzo walikua wanasema Tuchel akikutana na Spurs na Mourinho itakua mtihani mkubwa kwake na kipimo kikubwa sn kwa Tuchel na Chelsea... Kakutana nae na akampiga.
Wakaja tena, Man Utd, Liver Mara ratiba mgumu na Mara ATM ni timu ngumu lkn kote amevuka....
Sasa ma pundits wanasema Thomas Tuchel He is there to win the game....
Jamani ngoma imeshavuma sn mpk saizi wameanza kutuogopa maana record za Clean Sheet, unbeaten na magoli 2 ya kufungwa ktk game 13.. Wastani wa ball possession vinawatisha sn watu sasa.
Ndoo maana Tuchel alisema wazi kua hakuna timu inataka kukutana na sisi.... Na huo ndio ukweli
Gari limekorea na sasa ninaporomoka ktk mteremko yoyote akikaa mbele linamsaga tu
Tumemroga huyo alijua akienda huko arakuwa starDah hizi ni habari mbaya kwa Hazard. View attachment 1730766
Kikosi kizuri ...ziyech as 10 NI noma zaidi ngoja tuone
Yeah imeleta controversy admin wa Twitter naona alikosea...hii naona ndo yenyewe 3-4-2-1 formationMkuu line up zako unaziokotaga wapi? Delete hiyo app yako
Hii ndio line up ya leo. View attachment 1730939
With due respect naomba msamaha, huwa nasc reenshot ya Google, kumbe nao wanaboronga. Huwa wanaweka saa moja kabla ila leo walichelewa hadi kwenye 10 kasoro hivi ndipo waliweka nikachota nikiamini ndio yenyewe kumbe wameboronga. Narudia, samahani sanaMkuu line up zako unaziokotaga wapi? Delete hiyo app yako
Hii ndio line up ya leo. View attachment 1730939
Nimeshindwa kujua emerson hapo anacheza no ngapi?Ndio maana yake 3-4-3 is our secret killer weapon. Nilitaka nishangae 4231 wa nini.