OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Sisi hatuna falsafa ya kulea kocha eti tumpe Muda..sisi tunahitaji makombe ..na yeye akizingua anawekwa pembeni anapewa mwingine kazi.Tuchel na yeye atafundisha msimu mmoja tu.
Wanaume niliowakojolea tatu.Hahaha eti na wewe Arse8 unavimba mbele ya wanaume[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hapo nilikuwa namuangalia Kante tu anavyotimuaErmason GoalView attachment 1728559
Hahaha hili takataka sijui litakuwa na khali gani huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dear Tuchel[emoji2297][emoji174]
Honeymoon is over
Next 6 Games
Atletico (A)......[emoji777]
Man Utd (H). [emoji777]
Liverpool (A). [emoji777]
Everton (H). [emoji777]
Leeds (A). [emoji777]
Atletico (H). [emoji777] Then out of champions league
Na wewe utakojolewa subiri.Wanaume niliowakojolea tatu.
Kovacic na Rudiger wamepiga kazi kwelikweli lakini hawaimbwi.Ningeambiwa mimi Nani awe man of the match binafsi ningempa Rudiger maana Kante amekuwa man of the match Mara nyingi sana.Chelsea vs Atletico Madrid Player Ratings
Substitutes Ratings
- Edouard Mendy: 8/10
- Cesar Apilicueta: 7/10
- Kurt Zouma: 8/10
- Antonio Rudiger: 9/10
- Reece James: 8/10
- N’Golo Kante: 9/10
- Mateo Kovacic: 8/10
- Marcos Alonso: 7/10
- Hakim Ziyech: 8/10
- Kai Havertz: 8/10
- Timo Werner: 8/10
- Christian Pulisic: 6/10
- Callum Hudson-Odoi: 6/10
Unajisikiaje ukiingalia hii post. Imagine katika hizo match 6 kashinda nne na kutoa sare mbili tu.Dear Tuchel[emoji2297][emoji174]
Honeymoon is over
Next 6 Games
Atletico (A)......[emoji777]
Man Utd (H). [emoji777]
Liverpool (A). [emoji777]
Everton (H). [emoji777]
Leeds (A). [emoji777]
Atletico (H). [emoji777] Then out of champions league
Mlikuwa mnamuonea lampard Tu sasa subirini dawa yenu....😁 Aisee eti Pepe atufunge goli3Kwani tulivyowafunga 3 kwa 1 first leg ilikuaje?
Na hajaruhusu wavu wake kuguswaUnajisikiaje ukiingalia hii post. Imagine katika hizo match 6 kashinda nne na kutoa sare mbili tu.
Kajifie mbele wewe.3 4 3 hua inamalizwa kwa mid yenye nguvu, CAM mzuri na STs ambao wanaweza kufanya runs ili kuziwahi thru balls, mipira ya counter na kupatuliza katikati. Gameya juzi ya Madrid na Atalanta ni ukumbusho wa jinsi gani 3 4 3 inatepeta kwa wings zenye speed (Vinicius, Lucas) clinical finisher (Benzema) na mid ngumu (Modric na Kroos)
Cholo first leg alicheza 3 4 2 1 akachezewa mpira na kipigo, jana ameingia na 4 4 2 lakini Suarez kapata tabu sana kule mbele, Joao akawa analeta mambo ya juzi ya Vinicius. Kisha gradually Chelsea wakaonekana wamejaa uwanja mzima. Mchezaji wa Atletico akipiga pasi, inaanza kumfikia Kante, Krosi Inaanza kutua kwa Jorginho yaani ikawa hatari.
Anyway, kwa nilichoona jana naamini Arsenal tunaweza kurudia kuchapa tena tatu zingine. Maeneo ambayo Atletico siyo wazuri, kati na pembeni, Arsenal imeendelea kuyapatia ufumbuzi day by day also 3 4 3 siyo silaha ya muda mrefu ni nzuri kuitumia kwa tournaments za siku kadhaa ila siyo milele.
Arsenal tulianza na 3 4 3 baada ya Arteta kuchukua timu ikatufaa kwa muda kisha mambo yakawa si mambo formation ikafumuliwa. Tuchel anajua hili ndiyo maana alijaribu kuswitch kwenda kwenye 4 2 3 1 and the whole team trembled dhidi ya Atletico akarudia 3 4 3.
Mna tatu zetu.
Chelsea sasaivi wana kikosi kipana sn... Wachezaji wote ni wazuri.... Nasubiri kumuona Bill Gilmour tu na yeye akichezeshwa maana Jana kwa bahati aliyoingia nayo Emerson first touch tu na Goli.... Yaani ni shida kocha atakua an a hang any I kiss huo upande ampange nani ktk hao watatu. Ben, Alonso na Emerson?Tukubali tusikubali wachezaji wote sasa wanaanza kuwa kwenye form nzuri kuanzi werner mwenyewe, pulisic, ziyech, havertz nk
Tuchel hatakuwa na first 11 labda aamue kuwa rigid kama Lampard. wachezaji wote tulionao wakipangwa lazima tushinde lazime tutoe cleansheet
michezo 13 goli 2 tu tumefungwa na katika hizo 2 goli moja tu kafunga mchezaji wa nje na Chelsea
Tunadumisha mila nyie wengine mlishashindwa
Kante anakimbia km upepo....Mimi hapo nilikuwa namuangalia Kante tu anavyotimua
Yule alikua Lamps kivuruge. Tutavuruga kila kituKwani tulivyowafunga 3 kwa 1 first leg ilikuaje?
Tukubali tusikubali wachezaji wote sasa wanaanza kuwa kwenye form nzuri kuanzi werner mwenyewe, pulisic, ziyech, havertz nk
Tuchel hatakuwa na first 11 labda aamue kuwa rigid kama Lampard. wachezaji wote tulionao wakipangwa lazima tushinde lazime tutoe cleansheet
michezo 13 goli 2 tu tumefungwa na katika hizo 2 goli moja tu kafunga mchezaji wa nje na Chelsea
Kwani tulivyowafunga 3 kwa 1 first leg ilikuaje?
Kante anakimbia km upepo....
Niliona siku moja Tuchel alipotua darajani aliwaita hao viungo wetu watatu...yaani Kante, Kova na Jorginho
Akawaambia hivi atawatumia wote watatu na kuwapanga lkn itatengemea na opponents, na nguvu ya mpinzani na kile anachotaka siku hiyo kocha kucheza...
Kante ame qualify kila kitu. Iwe game ngumu laini ya vita mieleka Kante amepita. Labda kocha awe anaamua tu kumpumzisha lkn Kante ni unstoppable kabisa ni mfuniko kilaka spider yaani unaweza muita majina yoooote usimalize Kante anatisha na katisha sn.... Gumzo ulaya saizi
Na nakumbuka kulikuwa na tetesi za klop kumtaka...just imagine km angeenda huko na kuwasaidia huko sahv tungekuwa tunatafutana uchawiKumbuka Rudger ilibaki kidogo tuu dirisha la January hii angeuzwa na Lampard, ila alikataa kuondoka anatumukia makataba.
Dirisha kubwa lilopita ilisemekana Kante angeuzwa Psg, Juve au Madrid. Mungu akasaidia akabaki.