Nimeweka Chelsea asipate goli hata moja, nimetia elfu 60.. nalala nikiamka nataka nione muamala wa M-Pesa umesoma.
Hiyo kazi sijaifanya peke yanguTumekuchagua ww
Hii inakuaje offside ikiwa mpira ulichezwa na Werner. Ziyech kacheza move lakini haikua ya kumdistract beki au ndiyo inakuaje hapa?Werner’s goal was disallowed for being offside...View attachment 1717725
Mbona Kovacic na alzipicueta umewaacha.Werner kwa jinsi nilivyomuona anavyocheza jana,anaonekana anamatatizo ya kutojiamini,pale chelsea wachezaji ni Kante,James,mount, Christiansen na odoi,
Alzipicueta nilimsahau,ila huyo Kovacic hapana kwa kweli,maana anaweza kukimbia na mpira vizuri alafu kinachofuata utacheka,then miguu yake huwa imepinda so anashindwa kulenga goli,Mbona Kovacic na alzipicueta umewaacha.
Hapo hakuna offside.Werner’s goal was disallowed for being offside...View attachment 1717725
Ila pamoja na kutojiamini ndie aliyeipa tabu mabeki wa Liverpool jana, tatizo lake tu anapoteza nafasi golden opportunities sanaWerner kwa jinsi nilivyomuona anavyocheza jana,anaonekana anamatatizo ya kutojiamini,pale chelsea wachezaji ni Kante,James,mount, Christiansen na odoi,
Timo Werner ndie alikuwa OFFSIDE with micro nanometer VAR ni ya ajabu sanaHii inakuaje offside ikiwa mpira ulichezwa na Werner. Ziyech kacheza move lakini haikua ya kumdistract beki au ndiyo inakuaje hapa?
Game ilikuwa kali sana angalia hizo stats..liverpool tulimshika kila kona[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] hivyo hukupaswa kuogopa ..Em nipe ratiba ya marudio ya h mechi ili nikaangalie huku nakunywa azam ukwaju
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1672][emoji1672]Tumekuchagua ww
Yani yuko busy anatumia mshahara wa ausigeli kuiua Chelsea na kuipa takataka looserfool wakati anajua kabisa kwa sasa pale Anfield ni shamba la bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu elfu sitini bora ungewapa watoto wenye uhitaji mkuu.
Au ungepeleka hospitali kwa ajili ya kupambana na Covid 19 ungeonekana wa maana
Ah huyo jamaa Kwa kuzishinda press yupo vizuri shida kwenda mbele kwenye kuattack Ila mpe sifa zake anastahiliAlzipicueta nilimsahau,ila huyo Kovacic hapana kwa kweli,maana anaweza kukimbia na mpira vizuri alafu kinachofuata utacheka,then miguu yake huwa imepinda so anashindwa kulenga goli,
Kovacic anacheza kiungo Cha chini sio attacking midfielder kazi yake kuu anaifanya vizuri na ndio maana tunadominate game lakini pia anashinda press za opponents.Alzipicueta nilimsahau,ila huyo Kovacic hapana kwa kweli,maana anaweza kukimbia na mpira vizuri alafu kinachofuata utacheka,then miguu yake huwa imepinda so anashindwa kulenga goli,
Mkuu kuna mipasi kama miwili alichunguliwa na Ziyech akashindwa kufunga,ile mipasi kama unampa drogba au Diego Costa lazima akunyooshe,alafu Chelsea sasa wanatatizo la kupiga mashuti nje ya 18,na lingine hizi back pass zimekuwa nyingi sana,kuna muda liver walikuwa wanapress beki zikawa zinataka kujichanganya na mapasi yao ya nyuma,na Chilwell anatatizo moja la kupenda kupiga kross wakati wenzake hawapo kwenye box. Kama jana kuna nafasi unaziona kabsa hii sio ya kupiga kross inabidi atishe aingie nayo kama Alonso,Ila pamoja na kutojiamini ndie aliyeipa tabu mabeki wa Liverpool jana, tatizo lake tu anapoteza nafasi golden opportunities sana
Mkuu kuna mipasi kama miwili alichunguliwa na Ziyech akashindwa kufunga,ile mipasi kama unampa drogba au Diego Costa lazima akunyooshe,alafu Chelsea sasa wanatatizo la kupiga mashuti nje ya 18,na lingine hizi back pass zimekuwa nyingi sana,kuna muda liver walikuwa wanapress beki zikawa zinataka kujichanganya na mapasi yao ya nyuma,na Chilwell anatatizo moja la kupenda kupiga kross wakati wenzake hawapo kwenye box. Kama jana kuna nafasi unaziona kabsa hii sio ya kupiga kross inabidi atishe aingie nayo kama Alonso,